Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize Ana force kushindanishwa na Diamond apo ndo anakosea saana Diamond ni mkubwa kuliko Harmonize, Diamond mshindani wake ni Ali kiba na Sio Harmonize. Mmakonde atulie saana mda wake bado kushindana na Diamond.
Rayvan mnafiki wenu amekiri wazi kuwa Domo alikuwa anamuogopa konde
 
Nasibu ni nsenge wa kiwango cha lami, chawa wa diamond mnisamehe tu kwa kumtukana laaziz wenu, diamond ni mfano wa vijana wengi ambao hawataki kabisa maendeleo ya wengine, wakiona unaanza ku shine, wako tayar hata kukuua usifikie mafanikio yao, wewe ubaki chini tu milele..
Miaka mitatu tangu atoke huko kwa msenge, tofauti na kuvimba mwili ni kitu gani amefanikisha kwa ukubwa tofauti na alivyokuwa kule? Huenda sijui chochote.
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.

Watu wanaendeshwa na emotion kwani kumsaidia mtu ndo iwe nongwa? Pumb.avu Nimesoma comment hapo mtu anaandika eti Harmo ammpe respect Mond kisa kamtoa BSS iliyomkataa, mind za namna hii ndio zinafanya Tz iwe na watu wa hovyo hovyo.

Kumsaidia mtu haijawahi kuwa ticket ya aliyesaidiwa ku-bow, nauliza wangapi humu tumesaidiwa kwa njia moja au nyingine na kwa namna hii basi tuwaheshimu na kuwasujudu waliotuvusha hata kama wanatukosea na kutuvunjia heshima...heshima goes both way heshimu uheshimiwe.

Mjifunze kubalance shobo kwenye akili zenu, kila mmoja aheshimu mwenzie, heshem uheshimiwe
 
Kwenye huo uzi hapo, amenukuliwa akisema kuwa management nzima ya wasafi ilikua inamuogopa kuwa anakwenda kumshinda Diamond, baba ake akienda kumsalimia anaambiwa ameenda kuwaroga, akaamua kuondoka

Sasa mbona mpaka sasa bado hajamshinda ikiwa anajiona ye ni mkali kiasi cha kuogopwa na management nzima ya WCB??

Kama hashindani nae wala hataki kumzidi maneno neno yasiyo na tija ya kazi gani???
Wapi kasema yeye mkali?
 
Rayvan mnafiki wenu amekiri wazi kuwa Domo alikuwa anamuogopa konde
Hizo voice note Rayvanny alishaliongelea muda mrefu sana kupitia interview yake na alisema yy alikuwa upande wa Mmakonde hata mbele ya Diamond mwenyewe na ni kawaida tu ndani ofisi moja wafanyakazi kuteteana hata kama wafanyakazi ndo wamefanya makosa
 
Kazi yake kolabo ambazo hazieleweki,yani awilo tunasikia kelele tu,ukirudi amapiano amecopy 90% ya wimbo wote kaongeza maneno yake machache...kiukweli anazidiwa mziki hata na marioo
Ile "Mang'dakiwe" alipita nayo yote vilevile kaongezwa vimaneno kidogo, tayari akawa Teacher.
 
Huyu mziki ushamshinda,album inafanya vibaya.

Sasa Diamond kama angetaka kila siku kuwa yy.

Kaanzisha lebo ambayo imemtoa yy.
Kampeleka nje kufanya video kubwa.
Kamkutanisha na wasanii wakubwa Africa.
Kamtoa Rayvanny mpaka kufikia hatua ya Colabo na Maluma na kuchukua BET,Tz hii Rayvanny ndiye mwenye nyimbo yenye streams nyingi, kapiga show jukwaa la essence, mafanikio ambayo Diamond hajawahi kuya fikia.

Angeamua kuto kuanzisha label tusinge mjua na Diamond ni mfanyabiashara, always ana angalia faida na label zote duniani zina angalia faida, hata yy na JembeniJembe wanaangalia faida.

Yeye mwenyewe kuimba aliambiwa hajui, Diamond kakaa nae zaidi ya miaka mitatu, akimfundisha na kumpika kimuziki na kuna watu walimwambia hajui kuimba ila Mondi hakukata nae tamaa, kula,kuvaa na kulala kwa Diamond.

Anadai WCB walikuwa wana muogopa yy, haya leo zaidi ya miaka miwili nje ya WCB, yupo yy peke yake,free habanwi je kafika wapi,kampita Diamond?Anapata airtime ktk media zote kubwa zilizo kuwa hazipigi nyimbo zake.

Halafu haja tuambia wasanii wake wanapata kiasi gani, mikataba yao miaka mingapi,wana miaka miwili hawa heleweki wanafanya nini.
Una akili nyingi sana... Kijeba wa kimakonde anatema ndoano na vita haijaaanza.
 
Sasa swali linakuja unapomrekodi mwanaume mwenzio kwenye simu malengo yako ni nini?

Je huyo Rayvanny kampa go ahead huyu mmakonde kuongea faragha zake?
Ndio maana nimesema nimechambua pumba na taka zingine. Kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni kosa, lakini haiondoi ukweli kwamba kuna mengine mengi yana ukweli humo ndani. Hasa issue yake ya mkataba. Nnachoona hapo watu wanao wazunguka wamechangia kuharibu urafiki wao.
 
Harmonaize anaweza kuwa sahihi ila anachokifanya ni kutafuta public sympathy kumsagia kunguni mwenzake huu ndio utanzania wenyewe. Mimi nafikili hana washauri na kama wapo hawamjengi kiproffessional. Anachokifanya ni tabia ya uswahili aangalie atakuja kukosa endorsement maana haoneshi ukomavu yako kama mwanamke anaelialia kutafuta huruma.
Angetaka sympathy angesema haya toka alipotoka WCB, tatizo ka mungu mtu ka madale kanataka kusujudiwa.
 
Back
Top Bottom