Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Manara alishindwa kukaa nayo wiki😀😀😀😀😀

Umenikumbusha kitenge aiseee mpaka akaunti yake ya insta wakaichukua kisa tu kawahama na akaambiwa atoe ela ili arudishiwe akaunti yake🙌🙌🙌kitenge kagoma kaenda fungua akaunti nyingine hata mwezi hajamaliza ana followers 1M..

Pale ndio niliona side b ya roho ya jamaa ila mmakonde lazima apopolewe hata km yupo right....🚶🚶🚶🚶
 
Kwanini alipomlipa alikataa kumpa mkataba wa kuterminate? hapa tu ndiyo alipoboa!!
Unaweza kumlipa mtu kabla ya kupewa mkataba wa kuterminate, na hiyo Termination contract Ndio inaonesha kiasi anachopaswa kulipa

Rudi ukakae na mmakonde mwenzako na umueleze tabia ya kulia mbele ya wanaume wenzake aache na afanye kazi nzuri na sio sympathy za wanaume
 
umemaliza kila kitu
 
wamakonde mna tatizo sana
 
He stand alone against big media tycoon and win the battle.Kingereza chako hovyo kama unabisha lete mkono tushindane.
 
comment hii iwekewe lamination...........
 
Kwahyo mkiujua huo ukweli ndo huyo Mmakonde mwenzako atafanya vzr kimziki

Kama hawezi vita nenda kamwambie aache muziki na atulie kama wenzake walivyoona ngoma ngumu huyo Sijui sheta, dimpoz na maboko na wakaamua kuachana na muziki na wala nchi haimtegemei kwenye suala la muziki

Ni muda wa kuvuna korosho huko Ntwara
 
Fitna na unyonyaji popote penye riziki havikwepeki.

Wengi waajiriwa humu waulizeni katika kazi zao wanazalisha sh. ngapi na wanalipwa ngapi per month and take that ratio

NB. i'm not justifying what happened

Sent from my FIG-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Bado hatujamsikiliza na mtuhumiwa, tuwe wapole kidogo. Siyo kila jambo lipo kama unavyoliona mengine yanahitaji jicho la tatu.
 
Tatizo utimu umekuathir Sana mm sipo huko nazungumzia fact ,Domo Ana roho ya kukunja na hiyo roho kapewa na salam
 
Diamond abadilike au wakati utambadilisha
 
Tatizo utimu umekuathir Sana mm sipo huko nazungumzia fact ,Domo Ana roho ya kukunja na hiyo roho kapewa na salam
Roho mbaya ndio msingi wa mafanikio na ukilegeza tu moyo hutoboi

Kamwambie Njomba Nchumari akaze
 
Diamond abadilike au wakati utambadilisha
Hakuna mtu atakaa katika peak ya juu maisha yake yote

Kila mtu anafanya jambo lake kutokana na uwezo alionao na Kilichobaki kwa mmakonde mwenzenu ni kutafuta huruma ya watanzania tu
 
Kiukweli Diamond Platnumz amepigana vita nyingi sana mpaka sasa kiasi kwamba amekuwa nunda.

Ukitaka ushindane na Diamond Platnumz usitie huruma maana unapoteza pambano kirahisi sana.

Kwa sasa bado hatuna msanii wa kushindana na Diamond Platnumz na akamshinda. Pigeni kelele zote ila huo ndio ukweli bado hatujapata msanii wa kumshinda Diamond.

Diamond atayendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.

Chibu Dangote binadamu mwenye nyota ya ajabu. Atayekutukana anafanikiwa na atakae kusifia anafanikiwa. Bado hajatokea kama huyu tuvumilie tu haters japo inaumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…