Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Mambo yanakwenda kasi sana, joto linazidi kukimbiza huku jua likichoma kishenzi. Wakati tukifikiria ni kwa namna gani tunaweza kusurvive huku maji na umeme vikiwa shida, wasanii nao wanaibuka na mambo yao, yaani ni shida juu ya shida.
Mkuu
Umeweza kupangilia data zikaeleweka.

Wasiokuelewa utawaona tu hapa wakienda na kurudi bila ubongo
 
Mimi mtu akisikiliza Interview ya Harmonize ya jana halafu bado anamtetea Diamond, napata wasi wasi wa akili yake.

Diamond ana roho mbaya hataki azidiwe, ila nyimbo zake nzuri mwee nazipenda sema karoho kake ndiyo maana hanenepi!!

Mtu anamkunjia mwenzie kama nini!! asingesaidiwa angefika alipo?
Kweli asee twin

Kijamaa kinawaharibia wenzie
 
Kuanzia Bob Junior,Shetta ,Ommy Dimpoz ,Alikiba ,Diva enzi hizo akiwa clouds ..hao wote kwanini Diamond tu? Vijembe aliyokuwa anamtupia Ruge na Mawingu sasa hivi ndo vinamrudia yeye.

Ajikaze tu ila hafai kama ni mfupa haufai hata kwa supu
Kwani Ruge alitupiwa vijembe na Diamond peke yake?
 
Diamond hakika wewe jamaa ni hatari nimekuchukia hadi najiona mimi mjinga. Kwasababu hapa mjini ni wewe tu ndio unaonekana sisi wenGine tuonekana mbuzi

Maana kila mtandao Diamond diamond diamond diamond
Diamond ndio jina la mchezo.

Ili upate kiki mjini lazima umuongelee.
 
Back
Top Bottom