Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Diamond ataendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.Kiukweli Diamond Platnumz amepigana vita nyingi sana mpaka sasa kiasi kwamba amekuwa nunda.