Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Mashavu ya kindezi pamoja na promo za kipimbi kama hizi ndio zinawakuza wakaskika kuliko wanachokiimba
 
"Mambo yanakwenda kasi sana, joto linazidi kukimbiza huku jua likichoma kishenzi. Wakati tukifikiria ni kwa namna gani tunaweza kusurvive huku maji na umeme vikiwa shida, wasanii nao wanaibuka na mambo yao, yaani ni shida juu ya shida." hahahaha yaaani vurugu mechiii
 
Nionavyo elimu inamnyima mwanga Harmonize na sijui kwa nini management yake haimshauri.

Hivi ni kweli alichoandika Diamond kilitosha kumfanya Harmonize afikie hasira anazodai kuwa nazo?

Tukubali yote ni sawa, kulikuwa na sababu gani ya kumuingiza Rayvanny na Kusaga katika issue za Diamond?

Hivi 40% katika record label ni ndogo? Umewahi kufikiri idadi ya watu waliopo nyuma ya hiyo 60%

Ili tumumjani alipaswa athibitishe mikataba ya record label yake inatoa ngapi?

Katika vita jana ndio ametumia silaha ya mwisho wakati vita haijapamba Moto. Kilichobaki tumuombee tuu.
 
Watu unaowasaidia wengi hugeuka Maadui πŸ€’

Huyu Harmonize Ndio alilia Kwa Suprise ya Mond pale Dar Live

Halafu hii siku Diamond alipiga Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja Alienda Kwa Davido

Baadae Akaenda kumsupport harmonize na Dogo Mpaka Machozi yalimtoka

Leo WCB wamekuwa Wabaya πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Harmonize ni mchawi na kaisha ona anguko lake, pia ni roho mbaya, mfitinishi na mzandiki
 
Hivi harmo alivyotoka wasafi si diamond aliendelea kumsuport tena akawa anapiga ngoma zake kwenye media? Harmo alivyoanza kumtumia hbaba sijui mwijaku kumtukana diamond ndo mambo yalipoharibika sasa diamond kujibu mapiga anaonekana mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…