Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

I never sleep sleep😂😂😂😂
Kwan ilitakiwa aseme vp
 
Wabongo tushazoea Mambo ya huruma hata panapobiashara
 
Waingilie kati ili iweje tuna mambo mengi sana na ingekuwa vizuri kama akianzisha system ya wasanii kulipwa kazi zao zikitumika mahala popote na kusimamia kazi zote za wasanii.

Mimi hapo sioni tatizo lolote zaidi ya kelele tu, watagomba wakidrop watapatana.
 
Weee Jamaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Yaani waingilie kati hawa wavuta ngada na ndumu, aloo tumia akili kidogo tu wacha wamalizane hukohuko.
Wizara iko busy na vigodoro na michiriku huku hamna mda wa kupoteza msiichukulie poa na hao wamarekani wenu "beibi"
 
Yatakuja au tayari yamelifedhehesha taifa! Yaani Rais wa nchi awabembelezee wasanii! Sishangai kwani Rais alimvika kofia msanii! Nikamkumbuka yule mama aliyemfunga kamba za viatu mwanae ikulu mbele ya Rais.
Na yule DC wa Iringa aliyempigia salute dai. Akasema wewe nasib ndio kila kitu
 
Unaambiwa harmonize alimpigia simu mpaka mwakyembe ambaye kwa wakati huo ndio waziri wa sanaa, lakini yule mnyakyusa naye alikuwa chawa hakutaka kumsikiliza harmonize
Alimjibu bana eeh hebu subir nkaongee kwanza na nasib
 
J3 dai anafanya press na aljazira
 
Tunaweka rekodi sawa, Konde Kasema Raisi JPM alimpigia simu waziri wa sanaa wa wakti huo Hon. Dr. Mwakyembe. Mwakyembe ndio akawapigia airport kwamba wamzuie msaanii wa WCB asitoke nje ya nchi mpaka awe kasaini termination contract.

Kumbuka Mwakyembe alikuwa waziri wa miundombinu mwenye dhamana na airport wakati fulani kabla hajapelekwa wizara ya sanaa na utamaduni, hivyo I presume alikuwa na contacts za airport
 
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi si mpenzi wa Muziki wa Tanzania na wala siwapendi
Tunaweka rekodi sawa, Konde Kasema Raisi JPM alimpigia simu waziri wa sanaa wa wakti huo Hon. Dr. Mwakyembe. Mwakyembe ndio akawapigia airport kwamba wamzuie msaanii wa WCB asitoke nje ya nchi mpaka awe kasaini termination contract.

Kumbuka Mwakyembe alikuwa waziri wa miundombinu mwenye dhamana na airport wakati fulani kabla hajapelekwa wizara ya sanaa na utamaduni, hivyo I presume alikuwa na contacts za airport
 
Diamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
 
Watu wapuuzi sana yaani wanamlaumu Domo utadhania alimshikia fimbo harmo ili asaini
Anacholaumiwa domo ni makasiriko yake juu ya mtu ambaye anataka kujinasua kwa gharama yoyote kutoka kwenye mikono ya unyonyaji,kwanini uchukie mtu anayepambania uhuru wake?

Milioni 600 zishafuta utu wote wa domo amuache kijana na maisha yake makasiriko yatawafokisha pabaya kwasababu hata mmakonde anaonekana haya mambo sasa sio ya kumuachia Mungu ni ya kupambana nayo kiume kwa kiume,ndo maana yamefikia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…