Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Diamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
Duhh,we jamaa kiboko,ila umeongea point nashangaa watu kusema domo kaiweka serikali mfukoni kwa kipi hasa alichonacho,kama ni hivyo basi MO atakuwa kaweka serikali zote za afrika mashariki na kati kwa mfuko maana ana pesa mara 1000000 ya zile alizonazo domo ni kujitoa akili kishabiki maandaz
 
Stockholm hiyo juzikati

Concert kama concert
 
Duhh,we jamaa kiboko,ila umeongea point nashangaa watu kusema domo kaiweka serikali mfukoni kwa kipi hasa alichonacho,kama ni hivyo basi MO atakuwa kaweka serikali zote za afrika mashariki na kati kwa mfuko maana ana pesa mara 1000000 ya zile alizonazo domo ni kujitoa akili kishabiki maandaz
Sadala ana hela.
Ana nunua tuzo.
Ananunua airtime.
Ananunua watue wasisikilize nyimbo za wenzao.
Ananunua watu wasiwa shabikie wasanii wengine.

Yaani yy ananunua kila siku anataka kuwa yy juu.

Ndivyo baadhi ya watu wanavyo amini, pamoja na kununua lkn watu hao hao wanaponda, jamaa hana hela redio sio yake,hela wanakula mameneja, nyumba kapanga, wanasahau juzi walisema kanunua tuzo za MTV, leo wanadai hana hela.

Sadala ana kazi.
 
Diamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
Ongeza sauti mkuu
 
Sadala ana hela.
Ana nunua tuzo.
Ananunua airtime.
Ananunua watue wasisikilize nyimbo za wenzao.
Ananunua watu wasiwa shabikie wasanii wengine.

Yaani yy ananunua kila siku anataka kuwa yy juu.

Ndivyo baadhi ya watu wanavyo amini, pamoja na kununua lkn watu hao hao wanaponda, jamaa hana hela redio sio yake,hela wanakula mameneja, nyumba kapanga, wanasahau juzi walisema kanunua tuzo za MTV, leo wanadai hana hela.

Sadala ana kazi.
Zingatia hoja za Harmonize, siyo hizo porojo zako zingine
 
Tatizo kile kitoto kinaendekeza sana ushirikina, yaan mafua tu kishapandishwa ndege na Mamaye Kigomaaa kuangaliziwa kwanini aumwe Mafua,

Sio kosa lake hata hivyo ni mazingira aliyokulia (Tandale) na sehemu aliyotoka mamaye (Kigoma), uchawi ndio wanachowaza.
 
Manara alishindwa kukaa nayo wiki😀😀😀😀😀

Umenikumbusha kitenge aiseee mpaka akaunti yake ya insta wakaichukua kisa tu kawahama na akaambiwa atoe ela ili arudishiwe akaunti yake🙌🙌🙌kitenge kagoma kaenda fungua akaunti nyingine hata mwezi hajamaliza ana followers 1M..

Pale ndio niliona side b ya roho ya jamaa ila mmakonde lazima apopolewe hata km yupo right....🚶🚶🚶🚶
Kitenge alimaliza mkataba na aliondoka bila shari
 
Diamond kumbe Ni mchawi mshenzi sana..roho mbaya Sana yeye anawaza pesa tu sio utu..Ni mchawi..Ni kweli amefanikiwa kupata pesa lakini anapenda apate peke yake..!
Huo ndii ubepari au ubeberu wenyewe, ndio dunia ya leo. Tatizo mnawaza ujamaa ambao haupo ukipata mtu wakumnyonya mnyonye kwelikweli kama kupe utoboe ukizembea utanyonywa wewe
 
Nani huyo alikuomba uandike malala wewe, au unajitekenya na kucheka alone? Whatever the case Kondeboy ni fighter
Huyu mpuuzi anajiita Mwandishi wa habari wakati anainekana ni mpumbavu tu.

Hakuna kitu kibaya kama kuchambua kitu ambacho hukijui vizuri.
 
Diamond ataendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.
Hilo ni tamko kutoka kwa Aggrey mkata mauno wa Kinondoni.

So embarrassing.
 
Kiukweli Diamond Platnumz amepigana vita nyingi sana mpaka sasa kiasi kwamba amekuwa nunda.

Ukitaka ushindane na Diamond usitie huruma maana unapoteza pambano kirahisi sana.
Mkuu kwani nani kasema anashindana nae? Kila mtu hapa duniani kaandikiwa chake na muumba.
 
Back
Top Bottom