Duhh,we jamaa kiboko,ila umeongea point nashangaa watu kusema domo kaiweka serikali mfukoni kwa kipi hasa alichonacho,kama ni hivyo basi MO atakuwa kaweka serikali zote za afrika mashariki na kati kwa mfuko maana ana pesa mara 1000000 ya zile alizonazo domo ni kujitoa akili kishabiki maandazDiamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
Kuna uwongo wowotw kaongea?Ukweli mziki ushamshinda.
Sadala ana hela.Duhh,we jamaa kiboko,ila umeongea point nashangaa watu kusema domo kaiweka serikali mfukoni kwa kipi hasa alichonacho,kama ni hivyo basi MO atakuwa kaweka serikali zote za afrika mashariki na kati kwa mfuko maana ana pesa mara 1000000 ya zile alizonazo domo ni kujitoa akili kishabiki maandaz
Ukiwa na mafanikio kila mtu atazusha lake! Mwisho wa siku yeye ndio anajua Siri ya mafanikio yakeniliwahi kusikia sehemu kuwa CHAIJABA anamgegeda mama yake mzazi ,ndo sharti la nyota yake kuvuma...
(sina uhakika)
Ongeza sauti mkuuDiamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
Zingatia hoja za Harmonize, siyo hizo porojo zako zingineSadala ana hela.
Ana nunua tuzo.
Ananunua airtime.
Ananunua watue wasisikilize nyimbo za wenzao.
Ananunua watu wasiwa shabikie wasanii wengine.
Yaani yy ananunua kila siku anataka kuwa yy juu.
Ndivyo baadhi ya watu wanavyo amini, pamoja na kununua lkn watu hao hao wanaponda, jamaa hana hela redio sio yake,hela wanakula mameneja, nyumba kapanga, wanasahau juzi walisema kanunua tuzo za MTV, leo wanadai hana hela.
Sadala ana kazi.
Hatari na nusuniliwahi kusikia sehemu kuwa CHAIJABA anamgegeda mama yake mzazi ,ndo sharti la nyota yake kuvuma...
(sina uhakika)
Sema uchawa nao NI kazi uheshimiweDiamond anasiri moja wasioijua wengi,ukiishi nae vizuri utakula mema mengi yasiyohesabika,ukimpeleka kushoto basi atakupeleka vibaya
Kitenge alimaliza mkataba na aliondoka bila shariManara alishindwa kukaa nayo wiki๐๐๐๐๐
Umenikumbusha kitenge aiseee mpaka akaunti yake ya insta wakaichukua kisa tu kawahama na akaambiwa atoe ela ili arudishiwe akaunti yake๐๐๐kitenge kagoma kaenda fungua akaunti nyingine hata mwezi hajamaliza ana followers 1M..
Pale ndio niliona side b ya roho ya jamaa ila mmakonde lazima apopolewe hata km yupo right....๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ
Huo ndii ubepari au ubeberu wenyewe, ndio dunia ya leo. Tatizo mnawaza ujamaa ambao haupo ukipata mtu wakumnyonya mnyonye kwelikweli kama kupe utoboe ukizembea utanyonywa weweDiamond kumbe Ni mchawi mshenzi sana..roho mbaya Sana yeye anawaza pesa tu sio utu..Ni mchawi..Ni kweli amefanikiwa kupata pesa lakini anapenda apate peke yake..!
Huyu mpuuzi anajiita Mwandishi wa habari wakati anainekana ni mpumbavu tu.Nani huyo alikuomba uandike malala wewe, au unajitekenya na kucheka alone? Whatever the case Kondeboy ni fighter
Watangazaji wengi wa Radio bongo hawana mikataba.Kitenge alimaliza mkataba na aliondoka bila shari
Hilo ni tamko kutoka kwa Aggrey mkata mauno wa Kinondoni.Diamond ataendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.
Kumnyonya konde boy asilimia 60 dogo anapata 40,hii dunia hiiLazima anae kupa usingizi umsifie.
Mkuu kwani nani kasema anashindana nae? Kila mtu hapa duniani kaandikiwa chake na muumba.Kiukweli Diamond Platnumz amepigana vita nyingi sana mpaka sasa kiasi kwamba amekuwa nunda.
Ukitaka ushindane na Diamond usitie huruma maana unapoteza pambano kirahisi sana.