Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Hunishindi kipesa
Hunishindi kiserikali
Hunishindi kiuchawi

Kama unabisha nipe mkono [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Angalau wewe umeeleza kisomi mkuu .
Wengi wanapayuka humu wanaendeshwa na uteam.
 
Hiyo paragraph ya mwisho imeshiba kuna wasani pamoja na ukubwa wao lkn hawajui umuhimu wa wanasheria, kuna wasanii pamoja mikataba yao ya kutangaza bidhaa kwenye makampuni kuisha, still wanauza sura kwenye mabango mpaka sasa.
 
Kawalipa milioni 600. Mna jingine la zaidi?
 
Aya sawa
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.
Nami nashangaa.
Anachofaya Diamond kwa Harmonize ndio kile kile alichokuwa anafanyiwa Diamond na wale Mawingu, mpaka akaamua kuanzisha redio yake ili kuondoa ukiritimba. Atulie dawa iingie. Ubepari mbaya sana
 
Ukweli mchungu japo unauma,joto lote kavaa hood hata jasho hatoki[emoji16][emoji16]
 
Nitajie matajiri watatu mwenye roho nzuri
 
Kiroboto kingine hiki hapa....
 
Siujui na siupendi muziki wa bongo fleva ila ngoja niongelee muziki wa bongo fleva.

40% ni standard ya mgawo. 60% ya management ndiyo itatumika kwenye promotion, video na audio production, gharama za safari na maladhi. Ukikokotoa utagundua mwenye 40% anabaki na pesa nyingi kumzidi wa 60%

Uzi umejaa maoni zaidi kuliko facts.
 
Nami nashangaa.
Anachofaya Diamond kwa Harmonize ndio kile kile alichokuwa anafanyiwa Diamond na wale Mawingu, mpaka akaamua kuanzisha redio yake ili kuondoa ukiritimba. Atulie dawa iingie. Ubepari mbaya sana
Safi sana. Ni ngumu sana Mfalme kukubali falme nyingine ichipue. Hata Farao aliyepitisha sheria kuwa kila mtoto wa kiume anayezaliwa ktk jamii ile iliyokuwa utumwani auwawe ilikuwa ni sababu ya kulinda Ufalume usiende kwa jamii isiyoyake.
 
Rayvanny kwa harmonize haingii hata ukucha usimfananishe harmonize na upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…