Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kuna vitu vitatu tofauti
Kuamini ushirikisha
Kuishi ushirikina
Kuhofia ushirikina
ndio maana nikaguna tu quote yake, sometimes ni kujaribu kufaham tu elim haina mipaka.
kuishi ushirikina nadhani ndo alichokihisi yeye
 
- Kuishi ushirikina wewe ni zaidi ya shetani maana unamshirikisha Mungu na hapa hutaamini tena Mungu utakuwa unaendesha maisha yako kwa washirikina huyu ni mtu hatari sana.
3- Huu nao ugonjwa wewe ukiamini na kuhofia basi utakuwa mtumwa wa hali hii
 
Inawezekana pia kwenye hili ndio maana wengi hukataa kupeana mikono
Mie mmoja wapo nikikupa mkono ujue nimekuheshimu sanaa😀😀😀. Kuna mambo mengi ya kufanya nisipende kupeana mikono. Ila Diamond hata kama mchawi kazi anafanya, maana wasanii karibia wengi wachawi pia ila wavivu
 
Utotoni hujawahi kuambiwa "tupinge"

Ova
 
Me mwenyewe nasemaga hivyohivyo, hii interview ya harmonize waandishi ndo walipaswa kuuliza maswali in deep ili kumbana harmonize. Kwasababu watu wamendoka na mwelekeo wa upande mmoja, kwamfano me nikisema mbele ya waandishi wa habari Diamond alinichoma kisu Cha mkono, story itaenda kama ilivyo ,hakuna atakayenibana na maswali
 
Uungwana ni kumtambua aliyeandika ambaye umemkopi ,, Luqman Maloto.
 
Diamond uki Trace back alivyoshindwa kuishi na wanawake zake wa 4 anaonekana ana roho mbaya mno
 
Diamond uki Trace back alivyoshindwa kuishi na wanawake zake wa 4 anaonekana ana roho mbaya mno
Weee!! yako nzuri kuangalia ya wengine tu!!!! kwani mke ukae nae milele mama ako huyo? unajuaje km wao ndo waliamua kuondoka je? km ni ndoa ya mkataba? una hukumu tuuu!! ajili ya chuki!!!!
 
Walipokua wakichelewa kusaini kuvunja mkataba pia alikua akitumia pesa,toka 2019, hivyo hata kama ilikua ana milion 500 basi zitapungua na kubaki yamkini 300 kwa matumizi yake ya kila siku, hata alipo hitaji msaada wa kutoka kwa wengine bado muda ulikua ukizidi kwenda na hajamaanisha hakua na pesa bali hawezi kutoa pesa yote akabaki hana hata mia moja.

Hata hivyo baada ya kulipa 500 bado alitakiwa kuongeza tena milion 100, bado alienda kushabikia taifa star uwanjani akalipishwa milion 10 na kidogo.

Umeongea kwa urefu lakini ukweli anao yeye na kwa maongezi yake unauona ukweli ndani yake wa kuonewa na dogo dangote.

Hata hivyo pia usifatilie maisha ya watu waache na zama zao.
 
twende pande zote mbili harmonize kimuziki kufika kujulikana katembelea nyota ya mond mpake kesho japo anajua kimtindo tuongelee ukweli label ilimbeba sana msanii gani nyimbo ya pili tu akashoot south video quality (bado ft diamond) harmonize kutoka kwake hakustruggle sana kupitia wasafi wamemfanya ajue kila kitu yaani harmonizekasoma mchezo na techniques zote za wasafi mpaka siri anajua kila diamond anapoenda anaye

ishu ni conflict of interest harmonize alikuta kashakua katambua soko ila yupo kifumgoni haweza kutoka wasafi na alishasaini kama sijakosea nilisikia sijui miaka 6 sijui mitano ila sina uhakika.anajua pesa anapataje ndani ya miaka miwili tu

Tambua wasafi sio bongo star search kwamba wamemtafuta harmonize waje msaiinishe ila yeye ndo kawafuata

upande wa pili ubaya wa wasafi ni mmoja walitaka kumkandamiza kimaslahi hata useme ndani ya label hata akue vip haweza kumzidi mond labda umaarufu sio pesa maana wanaondoka na 60% yeye anachkua 40% so ingefika kipind wanatulia jamaa anawazalishia tu maana promo hamna tena mtu kashakuwa ndop maana leo zuchu anaonekana msanii mkubwa kutokana na wasafi , mbosso mapaka wakina bella wenzie wa yamoto band wanasema kwamba mboss anatendewa haki na management yak na wanatamani ile management
 
Diamond Ni mtu mwenye roho mbaya.

Pili hataki mwingine ashine. Anataka bongo fleva owe mali yake na kila mtu amnyenyekee.

Anataka harmonize awe mtumwa wake Kwasababu alimsaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…