Hahahahahahahah[emoji28][emoji28]kiuchawi zaidi pale Harmonize angempa mkono .....Basi Harmonize angegeuka kuwa paka ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahah[emoji28][emoji28]kiuchawi zaidi pale Harmonize angempa mkono .....Basi Harmonize angegeuka kuwa paka ....
ndio maana nikaguna tu quote yake, sometimes ni kujaribu kufaham tu elim haina mipaka.Kuna vitu vitatu tofauti
Kuamini ushirikisha
Kuishi ushirikina
Kuhofia ushirikina
- Kuishi ushirikina wewe ni zaidi ya shetani maana unamshirikisha Mungu na hapa hutaamini tena Mungu utakuwa unaendesha maisha yako kwa washirikina huyu ni mtu hatari sana.Katika haya yote kwangu mimi unapotea..
1-Kuamini hata vitabu vya dini vimesema uchawi upo ila msiuamini kwani ombeni Mungu atawalinda.
2- Kuishi ushirikina wewe ni zaidi ya shetani maana unamshirikisha Mungu na hapa hutaamini tena Mungu utakuwa unaendesha maisha yako kwa washirikina huyu ni mtu hatari sana.
3- Huu nao ugonjwa wewe ukiamini na kuhofia basi utakuwa mtumwa wa hali hii.
kwa yote haya mimi nadhani yana link pamoja ukianza na moja basi mengine yatafuata, mara nyingi mikoa yenye kuamini sana haya mambo utakuta wako nyuma kila siku. Kuna mtu alishawahi kuniambia ukitaka team ya mpira ishinde nenda kwa waganga Sumbawanga wakati wao wenyewe hata team ya daraja la 3 hawana.
Mie mmoja wapo nikikupa mkono ujue nimekuheshimu sanaa😀😀😀. Kuna mambo mengi ya kufanya nisipende kupeana mikono. Ila Diamond hata kama mchawi kazi anafanya, maana wasanii karibia wengi wachawi pia ila wavivuInawezekana pia kwenye hili ndio maana wengi hukataa kupeana mikono
Utotoni hujawahi kuambiwa "tupinge"Kutokana na taarifa aliyoisema ndugu yetu mmakonde kuwa jamaa alimuambia aweke mkono kama anataka mashindano ilikua na muktadha upi kitaalamu katika mambo ya kichawi au ilikua ni tambo tu au ni sawa na vile vijana wengi tunavuosemaga “tupinge kama unaeza” nisaidieni kuwatag wataalam aisee.
Mshana Jr na wengineo
Nawasilisha
Me mwenyewe nasemaga hivyohivyo, hii interview ya harmonize waandishi ndo walipaswa kuuliza maswali in deep ili kumbana harmonize. Kwasababu watu wamendoka na mwelekeo wa upande mmoja, kwamfano me nikisema mbele ya waandishi wa habari Diamond alinichoma kisu Cha mkono, story itaenda kama ilivyo ,hakuna atakayenibana na maswaliIdara Ya auandishi wa Habari Ni Janga lingine kubwa katika Nchi hii....Yaani Mwandishi anauliza Ukiwa Unaandika huwa unafikiria nini....Jamani yaani hilo swali lina mana gani?? Nyie mnaojiita waandishi siku hizi jaribuni Kusoma vitabu..Jaribuni kuwaasikiliza akina Tido Mhando kidogo mpate mwanga..Mko shallow sana sana na mnatia aibu.
Kingine Wewe Harmonize Ongea tu kiswahili unaeleweka....Achana na Kiswanglish cha nini??
Uungwana ni kumtambua aliyeandika ambaye umemkopi ,, Luqman Maloto.Miaka miwili iliyopita, Harmonize aliachana na lebo ya WCB, akasema menejimenti ya WCB ilimtaka staa huyo wa umakondeni alipe Sh500 milioni aweze kung’oka.
Ametumbua jipu, kwamba ilibidi auze nyumba zake tatu apate pesa za kuwalipa WCB. Kwamba yalikuwa masharti ya mkataba, Harmonize akitaka kuondoka WCB, alipe Sh500 milioni na gharama za utengenezaji wa nyimbo zote.
Safi sana kwa kutoa appreciationUungwana ni kumtambua aliyeandika ambaye umemkopi ,, Luqman Maloto.
Weee!! yako nzuri kuangalia ya wengine tu!!!! kwani mke ukae nae milele mama ako huyo? unajuaje km wao ndo waliamua kuondoka je? km ni ndoa ya mkataba? una hukumu tuuu!! ajili ya chuki!!!!Diamond uki Trace back alivyoshindwa kuishi na wanawake zake wa 4 anaonekana ana roho mbaya mno
Walipokua wakichelewa kusaini kuvunja mkataba pia alikua akitumia pesa,toka 2019, hivyo hata kama ilikua ana milion 500 basi zitapungua na kubaki yamkini 300 kwa matumizi yake ya kila siku, hata alipo hitaji msaada wa kutoka kwa wengine bado muda ulikua ukizidi kwenda na hajamaanisha hakua na pesa bali hawezi kutoa pesa yote akabaki hana hata mia moja.Miaka miwili iliyopita, Harmonize aliachana na lebo ya WCB, akasema menejimenti ya WCB ilimtaka staa huyo wa umakondeni alipe Sh500 milioni aweze kung’oka.
Ametumbua jipu, kwamba ilibidi auze nyumba zake tatu apate pesa za kuwalipa WCB. Kwamba yalikuwa masharti ya mkataba, Harmonize akitaka kuondoka WCB, alipe Sh500 milioni na gharama za utengenezaji wa nyimbo zote.
Hivi karibuni Harmonize amesema alihaha kupata fedha za kulipa WCB. Kampuni ya vinywaji ya Sayona na Benki ya CRDB ndio walimpa fedha za
Sawa bi Sandra kipozeo ya shamteWeee!! yako nzuri kuangalia ya wengine tu!!!! kwani mke ukae nae milele mama ako huyo? unajuaje km wao ndo waliamua kuondoka je? km ni ndoa ya mkataba? una hukumu tuuu!! ajili ya chuki!!!!
🤽Sawa bi Sandra kipozeo ya shamte
Mbona hujaweka source ya uchambuzi huu ni gazeti la mwananchi.Mwanadishi ni Lukman maloto?Shukrani sana kiongozi
🤝Mbona hujaweka source ya uchambuzi huu ni gazeti la mwananchi.Mwanadishi ni Lukman maloto?
HaaahaaaLakini sasa ukute jamaa kama huyu huenda ana maisha duni tu. Tuseme tu kuwa Mungu hakupi vyote[emoji1545][emoji1534][emoji3]