The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Well said broMzee unadhani wabongo hata ukiwaambia ukweli wanabadili mawazo?
Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao tunapenda au kumchukia mtu bila sababu ya msingi.
Alichofanyiwa harmonize watasema sawa ila kwa ruge rip walikuwa wanasema mnyonyaji hata kama hao wanaodai alikuwa anawanyonya walikuwa wamesaini mikataba kwa hiari yao.
Tanzania jambo linaweza kuwa zuri au baya ila inategemea mtendaji ni nani.
Muda ni hakimu wa hakiKalisema alivokua wcb mkataba ulim bana kutoa nyimbo Leo wasanii wake wanatimiza miezi 3-6 bila kutoa nyimbo Ibraah toka mwezi wa 9 mwaka Jana mpaka leo hajatoa nyimbo Just Imagine!!
Halafu kenyewe kila siku kanatoa nyimbo mpya tu,sijui masikini hao kina Anjela na Ibrah wanajisikiaje kwa kweli,inauma sanaKalisema alivokua wcb mkataba ulim bana kutoa nyimbo Leo wasanii wake wanatimiza miezi 3-6 bila kutoa nyimbo Ibraah toka mwezi wa 9 mwaka Jana mpaka leo hajatoa nyimbo Just Imagine!!
Nataka nianzishe tuzo za ChukiHalafu kenyewe kila siku kanatoa nyimbo mpya tu,sijui masikini hao kina Anjela na Ibrah wanajisikiaje kwa kweli,inauma sana
Ushauri wangu km Harmonize amelijua hilo basi amvumilie tu!...sisi ni binadamu Mond siyo Malaika! pia Harmonise siyo Malaika! huwezi kaa kwa mtu uwe huru kiviiile!Matendo. Ukimsikiliza ktk interview zake utagundua ni mtu mbinafsi. Ana ego sana. Hapendi wengine wafanikiwe anataka awe yy tu. Kwa nje Ni mtu mzuri lkn gizani/ndani anapambana sana kuwashusha wenzake.
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY. Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.Ushauri wangu km Harmonize amelijua hilo basi amvumilie tu!...sisi ni binadamu Mond siyo Malaika! pia Harmonise siyo Malaika! huwezi kaa kwa mtu uwe huru kiviiile!
lazima uone kasoro tu, basi zivumilie! zitengeneze! sahau mabaya na Mungu atakusaidia! woote humu tumeishi na watu baki tukaponea chupu chupu kuuliwa na hao hao! lkn tukafunika!
Ila huu mtindo WA kupokonywa account n kama umeshamir Sana kama hawa madogo account wametoka nazo king's music iweke wakapokonywe huko Kwa konde???Sijui yeye Cheed na Killy alikuwa anawapa kiasi gani maana kawapokonya magari na Account zao kwenye digital platforms zote. Madogo nao wamekomaa wamempeleka Basata.
Siajau mkataba wao walikubaliana vipi ila wamepokonywa account zao zote. Madogo ndio maana wamekomaa BASATA.Ila huu mtindo WA kupokonywa account n kama umeshamir Sana kama hawa madogo account wametoka nazo king's music iweke wakapokonywe huko Kwa konde???
Kwan kwenye mikata Mambo ya account social networks hua inasemaje??
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mbele ya pesa hakuna wema. Harmonize alikuwa anajifanya mtakatifu kumbe alikuwa anatafuta huruma tu kipindi Kile.Sijui yeye Cheed na Killy alikuwa anawapa kiasi gani maana kawapokonya magari na Account zao kwenye digital platforms zote. Madogo nao wamekomaa wamempeleka Basata.
Cheed na killyMuda ni hakimu wa haki
Zamu yake sasa hivi.Upo sahihi unachosema coz hata diamond mara kazaa ameonesha chuki japo kijanja. Harmonaize ni public figure anapoonesha chuki za waziwazi kuna mashabiki anaweza kuwapoteza coz diamond yuko kwenye advantage kama mtu aliemshika mkono kumuinua juu alipokuwa chini. Diamond sio malaika anamapungufu mengi na hatujui alimfanyia nini kijana wake behind the scenes. Note my words bro harmonaize anajaribu kufanya character assassination kwa diamond njia ambayo mimi nimeiona yakipuuzi tu
Umeya sikia ya Cheed,Killy na Anjella?Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app