Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Mzee unadhani wabongo hata ukiwaambia ukweli wanabadili mawazo?
Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao tunapenda au kumchukia mtu bila sababu ya msingi.
Alichofanyiwa harmonize watasema sawa ila kwa ruge rip walikuwa wanasema mnyonyaji hata kama hao wanaodai alikuwa anawanyonya walikuwa wamesaini mikataba kwa hiari yao.
Tanzania jambo linaweza kuwa zuri au baya ila inategemea mtendaji ni nani.
Well said bro
 
Matendo. Ukimsikiliza ktk interview zake utagundua ni mtu mbinafsi. Ana ego sana. Hapendi wengine wafanikiwe anataka awe yy tu. Kwa nje Ni mtu mzuri lkn gizani/ndani anapambana sana kuwashusha wenzake.
Ushauri wangu km Harmonize amelijua hilo basi amvumilie tu!...sisi ni binadamu Mond siyo Malaika! pia Harmonise siyo Malaika! huwezi kaa kwa mtu uwe huru kiviiile!

lazima uone kasoro tu, basi zivumilie! zitengeneze! sahau mabaya na Mungu atakusaidia! woote humu tumeishi na watu baki tukaponea chupu chupu kuuliwa na hao hao! lkn tukafunika!
 
Ushauri wangu km Harmonize amelijua hilo basi amvumilie tu!...sisi ni binadamu Mond siyo Malaika! pia Harmonise siyo Malaika! huwezi kaa kwa mtu uwe huru kiviiile!

lazima uone kasoro tu, basi zivumilie! zitengeneze! sahau mabaya na Mungu atakusaidia! woote humu tumeishi na watu baki tukaponea chupu chupu kuuliwa na hao hao! lkn tukafunika!
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY. Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.
 
Sijui yeye Cheed na Killy alikuwa anawapa kiasi gani maana kawapokonya magari na Account zao kwenye digital platforms zote. Madogo nao wamekomaa wamempeleka Basata.
Ila huu mtindo WA kupokonywa account n kama umeshamir Sana kama hawa madogo account wametoka nazo king's music iweke wakapokonywe huko Kwa konde???

Kwan kwenye mikata Mambo ya account social networks hua inasemaje??

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Ila huu mtindo WA kupokonywa account n kama umeshamir Sana kama hawa madogo account wametoka nazo king's music iweke wakapokonywe huko Kwa konde???

Kwan kwenye mikata Mambo ya account social networks hua inasemaje??

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Siajau mkataba wao walikubaliana vipi ila wamepokonywa account zao zote. Madogo ndio maana wamekomaa BASATA.
 
Mnafiki utamjua sasa waliokuwa wanamtetea humu wapo wapi. Sauti ya meneja wake iliyo leak akimwambia Anjella akitaka kuvunja mkataba wake atoe Tsh 1bil na baada ya hapo nyimbo zote zilizo rekodiwa akiwa Kondegang,Kondegang itachukua 55% ya kinacho ingia.

Namuona WAKAZI yupo kimya, Mange nae sijui yupo wapi, hapo ndipo utajua watu wanao mchukia Mondi hawana sababu bali wameamua kumchukia Mondi.

Ibrah nae mda wowote anaamsha kamfuata Vunjabei, Fred kamwambia akishavunja mkataba wake atammanage, Cheed na Killy bado wanadai 20m.

Humu wale jamaa zangu walio shadadia sijui wapo wapi. Kumbe mwamba alikuwa anatafuta huruma airports. Naona leo bada ya kelele kuzidi kaamua kujitokeza.
 
Hii ndio JF kama maktaba,ngojea tuanze kuzisoma comments za nyuma za watu. Ila thread hii iletembea pg 60,ile thread za Killy,Cheed na Anjela kujitoa mpaka sasa hazijafikisha pg 5.

Hapo ndipo utajua mtoto wa Tandale anamaadui wengi walio amua kumchukia bila sababu.

Ngojea tuanze kuperuzi page za mwanzo mwanzo.
 
Upo sahihi unachosema coz hata diamond mara kazaa ameonesha chuki japo kijanja. Harmonaize ni public figure anapoonesha chuki za waziwazi kuna mashabiki anaweza kuwapoteza coz diamond yuko kwenye advantage kama mtu aliemshika mkono kumuinua juu alipokuwa chini. Diamond sio malaika anamapungufu mengi na hatujui alimfanyia nini kijana wake behind the scenes. Note my words bro harmonaize anajaribu kufanya character assassination kwa diamond njia ambayo mimi nimeiona yakipuuzi tu
Zamu yake sasa hivi.
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Umeya sikia ya Cheed,Killy na Anjella?
 
Narudia comments za mashabiki mandazi wa mnafiki Mmakonde na haters wa Diamond, alivyolialia pale Airport na wasio na akili walivyomuunga mkono.Alistahili tuzo ya Oscar kwa acting ile.
 
Back
Top Bottom