Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Kwenye huo uzi hapo, amenukuliwa akisema kuwa management nzima ya wasafi ilikua inamuogopa kuwa anakwenda kumshinda Diamond, baba ake akienda kumsalimia anaambiwa ameenda kuwaroga, akaamua kuondokaYeye kasema anashindana naye, anataka kumzidi ??
Sasa mbona mpaka sasa bado hajamshinda ikiwa anajiona ye ni mkali kiasi cha kuogopwa na management nzima ya WCB??
Kama hashindani nae wala hataki kumzidi maneno neno yasiyo na tija ya kazi gani???