donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo Diamond alikuwa maskini sana bila support ya watu sahihi asingekuwa hapo alipo, kum classify Harmonise kwa umasikini wake nafikiri hapo hamko sahihiMiaka miwili iliyopita, Harmonize aliachana na lebo ya WCB, akasema menejimenti ya WCB ilimtaka staa huyo wa umakondeni alipe Sh500 milioni aweze kung’oka.
Ametumbua jipu, kwamba ilibidi auze nyumba zake tatu apate pesa za kuwalipa WCB. Kwamba yalikuwa masharti ya mkataba, Harmonize akitaka kuondoka WCB, alipe Sh500 milioni na gharama za utengenezaji wa nyimbo zote.
🤝Mtoa mada nipe mkono
Chawa wa Mondi tulia . Tumeshampitisha #Harmonize kuwa ndiyo mpambanaji wa ukweli. Huyo mla unga na bingwa wa walozi hatumtambuui tena Mkuu.Miaka miwili iliyopita, Harmonize aliachana na lebo ya WCB, akasema menejimenti ya WCB ilimtaka staa huyo wa umakondeni alipe Sh500 milioni aweze kung’oka.
Ametumbua jipu, kwamba ilibidi auze nyumba zake tatu apate pesa za kuwalipa WCB. Kwamba yalikuwa masharti ya mkataba, Harmonize akitaka kuondoka WCB, alipe Sh500 milioni na gharama za utengenezaji wa nyimbo zote.
Mkuu mshana kwanza heshima yako broh, hata kabla sijawa member rasmi humu jf huwa nafatilia sana kila post na coment zako zote huwa zinanijenga sana... Uzidi kuishi maisha marefu aiceeNi tendo la kukubaliana na anachosema mhusika! Ndio maana hata watu wakipatana hupeana mikono
Kwa muktadha wa tukio husika Harmo angekubali kutoa mkono angetangaza vita rasmi Mondi
daah,Hakuna Harmonize bila WCB. Tunayofursa ya kwenda mbinguni bali pia ni wajibu kukiri matendo ya Yesu kristo kumkubali utetezi wake juu yetu pale msalabani. Huyu mbilikimo konde he was no body no body at ll. Usnitch wa mmakonde na wamakonde watz wengi hawaujui. Poleni sana. Mmakonde alishawishiwa atoke ili watu wamwangushe Mondi ila kwa nguvu za Mungu wameshindwa. Mungu baba wa kweli amesimama na Mondi na Mondi anaipaisha Tz.
Mungu aendelee kumpa baraka tele na maisha marefu Mondi.
AllahAkbar!!
Miaka miwili iliyopita, Harmonize aliachana na lebo ya WCB, akasema menejimenti ya WCB ilimtaka staa huyo wa umakondeni alipe Sh500 milioni aweze kung’oka.
Ametumbua jipu, kwamba ilibidi auze nyumba zake tatu apate pesa za kuwalipa WCB. Kwamba yalikuwa masharti ya mkataba, Harmonize akitaka kuondoka WCB, alipe Sh500 milioni na gharama za utengenezaji wa nyimbo zote.
Nina wasiwasi na elimu na utashi wako kichwani..mtu anayefikiria normally hawez ongea hvswali alilazishwa...jibu hapana...basi kesi kwisha kama mtu amewezeshwa ili aweze kuvua samaki basi hata hiyo mia sita ndogo sana alipaswa aambiwe trilioni 8 huo ndio ulipaswa kuwa mkataba halali
[emoji1534][emoji1545][emoji1545]Asante sana na karibu JFMkuu mshana kwanza heshima yako broh, hata kabla sijawa member rasmi humu jf huwa nafatilia sana kila post na coment zako zote huwa zinanijenga sana... Uzidi kuishi maisha marefu aicee
Tuma salamu kwa watu watatu.Mkuu mshana kwanza heshima yako broh, hata kabla sijawa member rasmi humu jf huwa nafatilia sana kila post na coment zako zote huwa zinanijenga sana... Uzidi kuishi maisha marefu aicee
Acha izo loh..[emoji23]Tuma salamu kwa watu watatu.