LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Siyo angekuwa amekwisha? Kuchukuliwa nguvu zake?Ni tendo la kukubaliana na anachosema mhusika! Ndio maana hata watu wakipatana hupeana mikono
Kwa muktadha wa tukio husika Harmo angekubali kutoa mkono angetangaza vita rasmi Mondi
Kuna siku niliwahi msikia mtu anasema yule amebebwa kiganja vyake vipo upande huu..
Jamaa akamalizia usipende kushake hands with ur enemies..
Ongezea ujuzi kwenye hili bro