Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Hivi Mmejifunza nini Toka Kwa Clouds Media Na Harmonize? Kuna Somo Moja Kubwa Sana Nimejifunza UNAFIKI! Hii ni MAIN THEME ambayo unaweza Itengenezea THEORY,UNAFIKI muogope Sana Mtu Mnafiki!

-Ingia ulaya yaliyotokea kwa harmo angekaa hata miaka 2 bila kuonngea chochote! Kinachotokea sasa kwenye Interview zake Zote itakuwa ni Kuhusu yeye na WCB na Sio mziki Wake Tena...!!! Akija kushtuka aanze kuongelea mziki Wake its too late! Sahizi Clouds watampeleka hadi Fiesta kwa Hela wanayo taka!

Turudi kwenye UNAFIKIII ,Unafiki ni Somo Kubwa sana Harmonize Ameprove kuwa diamond ndio alikuwa hataki amani na Clouds ila Yeye alikuwa anataka amani! Wakati clouds hawajaaahi cheza nyimbo zake hata kabla ya Diamond Kutofautiana Nao! Alie Sababisha Diamond Atofautiane na Clouds Ni Harmonize! Diamond Alikuwa anamkingia kifua harmonize pale walipo taka kumtumia kwa faida yao,Apige show hela ndogo Diamond Aligoma na ndio ugomvi ulipo anza lakini Diamond matokeo ya kufanya vile yalionekana harmo akawa ana heshimiwa na Anafanya show za heshima! Leo Diamond hata issue tena inaonekana alikuwa anamkosesha amani na Clouds! Kusema Nyimbo zake alikuwa hapendi ambapi hazipigwi clouds ni Unafiki nakumbuka kuna interview alifanya ana aliwaponda clouds na kuwapost insta! Eti leo hata Kutaja neno WCB kwenye interview hawezi

-Unafiki wa clouds kusubiri watu wagombane yeyw aponee hapo...Wamempoteza Aslay barnanaba sahizi Wanataka kumpoteza Marioo atafuata harmo

-Usijidanganyw ukaenda kugombea ubunge lisa ni kauli Ya Rais,Raisi ni Mwanasiasa Ambae anatafuta kupigiwa makofi mbele za watu! Rudi clip ya raisi mara 10 10 utajua raisi hakumaanisha

UNAFIKIIIII
 
Bado hajalipa ndio maanake ndio maana bado hajamaliza unafikiri wanashindwa kuomba restrain asitumie bidhaa zao hadi atakapo vunja mkataba rasimi?
Nakushauri kasikilize interview yote.. Rich Mavoko aliporwa hadi account yake ya Youtube, amazon na apple alivyoshindwa kulipa. Akabaki kuanzisha account mpya Bilionea Kid. Harmonize accounts zake zote anazicontrol kuanzia youtube, boomplay, insta, facebook, amazon, spotify na n.k.. Youtube anaupload video zake zote.. Nyimbo mpya kaziweka kwenye account mpya katika worldwide streaming platforms zote. Angekuwa hajalipa sehemu kubwa wasingemruhusu atumie au yeye asingeweka video kule maana hatapata mapato.. Labda kama akiweka video wakipata pesa ni sehemu ya malipo.. Pia kwenye uzinduzi wa nyimbo yake leo paparazzi kaperform nyimbo zote
 
Hoja ya kijinga unaweza ukawa na uwezo wa kuimba lakini huna uwezo wa kujiongoza na kufanya ufike mbali... Muziki haushii kwenye kuimba tuu...kuna mambo mengi na uwekezaji mkubwa una hitajika!


Mavoko hakufanya kosa kwenda WCB bali alikwenda bila malengo pia alikuwa hajitambui....ni msanii kichaa tuuu ambaye anaweza kuwa chini ya diamond na ana kipaji kama cha Mavoko na ashindwe kufanikiwa!

Wajinga walimuongezea ujinga Mavoko kuwa anafanya kosa kusimamiwa na Diamond na yeye akafikiri ni kweli kumbe ana jidanganya...wenye malengo na akili huwa hawaogopi kufanya kazi na watu wenye uwezo kama wao.....

Mavoko ni mmoja wa wasanii wajinga ndio maana alijazwa ujinga na akalewa ujinga na sasa wajinga wanamcheka kwa ujinga wake...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora amejitoa, kama hata 500mil tu alikua hana hadi auze nyumba inaonyesha wazi alikua halipwi vizuri, level ya Harmonize hatakiwi kukosa 1 billion kwenye account imekaa tu. Huyu ni msanii mwingine anakimbia wasafi, ukiona hivyo jua kuna kitu, Mond inaweza kua ni boss mbaya sana, watu walivyo wajinga wakimpenda celebrity wanahisi kila anachofanya ni perfect, wanasahau ni binadamu walewale tu.
 
Nimefatilia instagram yake naona wafuasi wameongezeka. Hata views za promo ya huu wimbo una views zaidi ya 200K.

Kiufupi Harmo kawa mjanja kuliko Mavoko. Kule kuna unyonyaji ila sasa utatokaje kama huna hela?
Ashukuru Mungu hizo nyumba zimemuokoa
Nyumba na mpunga demu wake ndio vimemuokoa 🤣🤣🤣!

Sasa we endelea ku date na slay queens!
 
Kwa maelezo yake wakina Rayvanny wapo kwenye wakati mgumu sana, hadi waje wajitambue muda utakua umeshawatupa mkono. Na tulivyokuwa tunaaminishwa kwamba ni msanii mwenye pesa sana lakini mwenyewe kakiri kuwa hana hizo pesa zinazosemwa, watu wanaofaidi pale ni kina Tale na waajiriwa mfano radio/TV presenters watakua wanalipwa vizuri ila wasanii itakuwa wako kwenye kifungo kizito sana.
 
Back
Top Bottom