Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

TUMSHAURI KIJANA ATOMIZER MANENO AKE NA YY AWE KAMA NASIBU NA AWAZULUMU na wengine Haaaa
 
Harmonize anakosaje mil 500 kwenye acc yake?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani mpaka auzew nyumba na vyote alivyonavyooo... Aisee mondi afadhali ya Ruge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Vitu vingine ni propaganda ww jamaa anahela sema hataki kuwa exposed anaweka siri hizo nyumba amedanganya tu coz katika hiyo mill 500 unajua kabakiza shlngp unaweza kuta kamaliza zote lakini hakutaka kusema tu.
 
Watanzania sisi ni WANAFIKI sana. Kila siku vijana tunausiwa na hata sisi wenyewe tunajipambanua murua kabisa kwamba tutumie ajira za kuajiriwa kama chanzo cha kupata mtaji ili mwisho wa siku tujiajiri. HARMONIZE katuonyesha njia. Lakini bado tunaanza masimango na kumuona kakosea kuondoa WCB!. Aiseeee, so wengi mlitaka mmuone Konde boy akiwa WCB mpaka anazeeka???!!!
 
Ukimsikiliza vizuri dogo Harmonize tayari asha haribika kisaikolojia ( Kachanganyikiwa).
Eti kauli ya Raisi ni sheria, yaani Mie umenipa sifa nimefanya vizuri.. Kwanini na mie nisikupe Sifa hata Kinafiki.

Clouds wanazidi kumpoteza Huyu kijana, Hicho chakula ndio Kabisa.. Wanakula wanapotea.

Uzuri Korosho itasimamiwa vizuri.. Atajipatia Kipato huko
we ndio umeyumba sasa konde boy anakolabo na wiz kid hata huyo mond anatamani sana kufanya kazi na huyo mtu
 
Mtizame yule Qboy mnayedai alinyonywa WCB anaomba msamaha anataka arudi tena kundini.Ongeeni tu ila MUDA mwalimu mzuri sana.

Mnadai ananyonywa lkn kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba mbili ambazo leo hii,anazitumia kununua sehemu ya mkataba uliobakia.

Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Ulitaka Harmo azeekee WCB?. Maisha hayako hivo mkuu. Mbona watu hutoka kwa baba na mama waliowazaa lakini wazazi HUWATAKIA MAISHA MEMA NA BARAKA???!!!
 
Hapo penye uwaziri unazungumzia uwaziri upi
 
Ulitaka Harmo azeekee WCB?. Maisha hayako hivo mkuu. Mbona watu hutoka kwa baba na mama waliowazaa lakini wazazi HUWATAKIA MAISHA MEMA NA BARAKA???!!!
Mbona unadandia treni kwa mbele,unajua jamaa nilikuwa namjibu mini?
Acha kukurupuka kasome upya nilipomjibu huyo jamaa.
 
Mbona unadandia treni kwa mbele,unajua jamaa nilikuwa namjibu mini?
Acha kukurupuka kasome upya nilipomjibu huyo jamaa.
Tuliza kipere. Kama umeandika pumba lazima ujibiwe hata kama sio na muhusika uliem-quote. Vyovyote ilivyo, understand the mesaage.
 
Tuliza kipere. Kama umeandika pumba lazima ujibiwe hata kama sio na muhusika uliem-quote. Vyovyote ilivyo, understand the mesaage.
Labda ww ndiye mwenye kipere uliyeshindwa kutofautisha kati ya Qboy na Harmonize.Unaonekana hata ulicho kiquote hujakielewa.
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.

Sio wivu bali Diamond mtu na ni kijana mwenye huruma sana ndio maana amemwambia alipe hizo million 500 maana kimsingi investiment hadi sasa ni zaidi ya hiyo!

Diamond angekuwa ni mtu mbaya angelimzuia asitumie zile nyimbo mpaka amalize lile deni lake lakini wamemuacha alipe pole pole mpaka amalize deni!

Haya ndio madhara ya kuvunja mikataba uliyo iingia mwenyewe na ukasahau kuwa kuna vipengele ulivisaini ukiwa na furaha sana...

Wasanii wetu wengi wao ni wajinga kwa sababu huwa wana saini mikataba bila kuisoma na hata wakiisoma hawaielewi na hata wakiielewa wao wanachukulia poa na wengi huona kama wame saini na ndugu zao wa damu au mama zao au baba zao hivyo hawajui kuwa mikataba huo ni mwiba kwa anaye saini inapokuja kuivunja!


Wasanii wetu ni wanyonyaji ndio maana wanaona wao kuimba tuu basi wana hati miliki ya kila kitu ndio maana hata studio huwa hawalipi mapeiducer...

Harmonize alipe hizo pesa
 
Nimefatilia instagram yake naona wafuasi wameongezeka. Hata views za promo ya huu wimbo una views zaidi ya 200K.

Kiufupi Harmo kawa mjanja kuliko Mavoko. Kule kuna unyonyaji ila sasa utatokaje kama huna hela?
Ashukuru Mungu hizo nyumba zimemuokoa

Hivi ni kipi Harmonize amenyonywa? Hebu taja uo unyonyaji basi na tuelewe....
 
Jidanganye tu, maana mondi ndio kampa kipaji cha kuimba? Konde wakati anakashifiwa pale bongo star search alikuwa amepeleka kipaji cha upishi? Konde ni kama Mesi anasajiliwa na timu kubwa kwa kuwa ana kipaji. Mtasubiri sana aanguke lakini hamtashuhudia hilo kabisa.

Kwa hiyo Harmonize kafika hapo kwa nguvu zake binafsi?
 
Harmonize anakosaje mil 500 kwenye acc yake?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani mpaka auzew nyumba na vyote alivyonavyooo... Aisee mondi afadhali ya Ruge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
DIAMOND alimsomesha binti chuo baada ya kuhitimu yule binti akapata kazi na kupata bwana mwengine na kuolewa nae
 
Back
Top Bottom