Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Mkuu hizo bifu ndo biashara zenyewe....kuwepo ule ushindani ndo wanapopatia kumbuka enzi zile ,Kiba Vs Mond.
Ali Kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin
 
Walisema Marehemu Mnyonyaji, kwani Mziki una Maziwa? RIP Jasiri Muongoza Njia
 
Nimefatilia instagram yake naona wafuasi wameongezeka. Hata views za promo ya huu wimbo una views zaidi ya 200K.

Kiufupi Harmo kawa mjanja kuliko Mavoko. Kule kuna unyonyaji ila sasa utatokaje kama huna hela?
Ashukuru Mungu hizo nyumba zimemuokoa
Mavoko mpuuzi sana yaani jamaa kazubaa kishenzi hajui kujifanyia promo,hajui kujimarket hana kachumbari,hana udambwi udambwi pamoja na kufanya muziki muda mrefu hana hela ndio maana anahemea mipira
 
Yaani wewe chokoraa wa Jamii Forum unamuona harmo kachanganyikiwa !!!


Umute unaishi kwa dada yako unakula matunda ya jitihada za dada yako chumbani.
Nakukubali sana mkuu hutakagi ujinga..!!!
 
Mtizame yule Qboy mnayedai alinyonywa WCB anaomba msamaha anataka arudi tena kundini.Ongeeni tu ila MUDA mwalimu mzuri sana.

Mnadai ananyonywa lkn kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba mbili ambazo leo hii,anazitumia kununua sehemu ya mkataba uliobakia.

Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Inshu ya qboy ilikuwa sio kunyonywa ni utovu wa nidhamu jamaa alichukua gari la zari bila ruhusa akaenda kupiga nalo misele mind akamtimua which is not fair coz jamaa aliifanyia memgi tu mazuri wcb still wakamtupa
 
Mkataba ni kitu cha kuheshimiwa...

Wabongo mnataka kila kitu kifanyike "kishikaji", wakati haki za kila mtu kibiashara zinabainishwa kupitia mapatano yanayoitwa "mkataba"...

Mafanikio yoyote yana gharama zake, huyu kijana kakubali kuingia gharama hiyo ili kuelekea mafanikio anayoyatarajia...
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
 
Inshu ya qboy ilikuwa sio kunyonywa ni utovu wa nidhamu jamaa alichukua gari la zari bila ruhusa akaenda kupiga nalo misele mind akamtimua which is not fair coz jamaa aliifanyia memgi tu mazuri wcb still wakamtupa
Hata kifesi alizinguana na Diamond baada ya kuingilia mahusiano yake na Zari(kiushauri).Hapo niliyemjibu alikuwa ana zungumzia kunyonywa,je Q boy alinyonywa?
 
kumbuka vyote alivyonavyo Harmo vinatokana na msaada kutoka kwa Diamond ukiachana na MUNGU mpaka amefika hapo ni kwa nguvu za Domo usingemfahamu huyo jamaa pasipo huyo unayemuita Domo na hujui huo mkataba walikubaliana vp ko kuwa mpole
Usiseme msaada kwasababu hakuna msaada unaohusisha mkataba so konde kawaingizia wasafi hela km kampuni na wasafi wamemlipa stahiki km mfanyakazi na muajiriwa wa wasafi msaada unatoka wapi? Mbona alipovunja mkataba kalipa pesa km ni msaada?
 
Jana Nimemwona QBoy Amebaki Kuwa Kinyozi Tu, Kariakoo !

Domo Ukimchekea Utabaki Kupata Tu Sifa Mitandaoni, Mademu, Na Show Offs.

Ukichokwa Unapigwa Chini, Unapotea.

Harmonize Kashtuka Mapema. Anaweza Kuinuka
na ngoma katoa mule mule
 
Hata kifesi alizinguana na Diamond baada ya kuingilia mahusiano yake na Zari(kiushauri).Hapo niliyemjibu alikuwa ana zungumzia kunyonywa,je Q boy alinyonywa?
Hakunyonywa hata kidogo tena yeye ndo alikuwa anawanyonya wcb coz yeye ndiye alikuwa anafaidika zaidi kuliko wao walivyokuwa wanafaidika naye
 
Ukimsikiliza vizuri dogo Harmonize tayari asha haribika kisaikolojia ( Kachanganyikiwa).
Eti kauli ya Raisi ni sheria, yaani Mie umenipa sifa nimefanya vizuri.. Kwanini na mie nisikupe Sifa hata Kinafiki.

Clouds wanazidi kumpoteza Huyu kijana, Hicho chakula ndio Kabisa.. Wanakula wanapotea.

Uzuri Korosho itasimamiwa vizuri.. Atajipatia Kipato huko
nyamaza harmonize kakuzidi pesa hata ushawishi hata unachokiongea hawezi kukusikiliza kamwe hadi ujinga kakupita.
 
Back
Top Bottom