Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Kuna kauli imenifikirisha kidogo hapo alipokuwa anazungumzia migogoro ya media kusema kwamba "Unakuta mmiliki ni mmoja"
Kwa sababu Kusaga anamiliki WASAFI MEDIA na CLOUDS MEDIA lakini WASAFI wanataka kupambana na CLOUDS., kisa ugomvi wa DOMO na marehemu Ruge.
 
Dogo kuna namna kapuyanga, ujue kuna neno uzur au ubaya wake uja kutokana na nani aliyesema wakati gan alisema na wapi alisema. hivyo pamoja na kua alichosema kinaweza kua na ukwel usio na shaka. Bila kuangalia mambo niliyokwishasema hapo juu unaweza kuleta tahuruki na kuishia kujenga bifu.
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Hizo zilikua terms za kwenye mkataba ,hivyo hajaonewa ndo maana amelipa
 
Huyo Ni Takataka, Alikuwa Haingizi Chochote Zaidi Ya Kutumia.
Ndio Maana Walimtema Tu, Hakuwa Na Faida Yoyote
We si ulisema Wasafi wamenyonya amebaki kuwa kinyozi sasa hivi.

Wakati alipokuwa Wasafi alikuwa ana drive na posho analipwa kwa kazi ya kumvalisha na kumnyoa Diamond ,bila kusahau alikuwa anasafiri na Diamond sehemu yoyote ila mwenzake Kifesi ,aliyekuwa wakisafiri kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba na gari na wote walikuwa wakilipwa.

Bila kusahau mwenzake Kifesi kafungua studio kubwa ya kupiga picha,mtaji kaupata kupitia WCB.

Siku zote MUDA mwalimu mzuri ,baniani mbaya kiatu chake dawa,swala la muda tu nyeusi na nyeupe zitajulikana.
 
Ile biashara kokote duniani haya mambo yapo hvo mkataba ndio ulikua unasema hvi alifanya makosa bila kuusoma mkataba na kuuelewa madhara yake ndio haya ml500
 
Nimemsikiliza interview sijaona sehemu Harmonize kawajibu vibaya WCB.

Ila kuna sehemu kasema haya maugomvi ya media wakati utakuta yote mmiliki ni 1 si sawa kabisa.

Harmonize kilichomsaidia ni hizo nyumba zake na alikua karibu sana na Diamond hivyo anajua fitna zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Huo ni unyonyaji wa wazi wazi inamaana kama huna hyo amount ndo unapotea mazima! No wonder rich mavoko amepotea masikini.

Hyo mikataba ya wasafi iangaliwe upya aisee!
 
Kuhusu beef za media mimi nadhani mzuri waleta changamoto ila hawa mawingu media wanauwa vipaji vingi sana tz
 
Mbona mnajadili ujinga ujinga Harmonize alisaini mkataba na ndani ya mkataba kuna vitu vingi amba vyo sisi hatuvijui ila yeye harmonize alitaka yeye kuvunja mkataba ambao umemtaka alipie ml500 ili kujiondoa kwenye lebo

Na mkataba alilizika nao yeye harmonize na kusaini mwenyewe sasa linapokuja swala la harmonize kuvunja mkataba si avunje tu! Kulalamika lalamika yanini na kuchanganya diamond kwa vitu smbavyo
 
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi.

Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake ,akaunt za mitandao ya kijamii na mengineyo.

Ili kuendelea kutumia nyimbo hizo imemlazima kulipa milion 500, amesema kuwa ameuza nyumba zake tatu na baadhi ya aseti na yupo kwenye hatua za kumalizia deni lake ili aweze kupiga nyimbo zake popote pale.

Kuhusu kugombea ubunge amesema kauli ya Rais ni kama sheria hivyo yupo tayari kutekeleza agizo la mheshimiwa.

2020 Harmonize mjengoni.!

Ameongeza kuwa ugomvi wa Vyombo vya habari unarudisha mziki nyuma.

Amewekea mfano Whozu na Marioo kuwa ni wasanii ambao wanashindwa wasimame na media ipi.

Hapa inaonesha kuna wasanii wengi wanapenda kushirikiana Wasafi fm ila wanaogopa kutengwa na Clouds.

umeandika kwa ulefu ila nazan ni kwa sababu umeambatanisha na uongo

Swala la kulipa million 500ni sawa ila amelipa kiasi kikubwa ukifananisha na kilichobaki
Swala la kuzuiliwa kutumia jina umeongopa hilo hata yy kalikataa labda kama radio uliyokuwa unasikilza ww inatifauti na yangu.
 
Duh! Huo ni unyonyaji wa wazi wazi inamaana kama huna hyo amount ndo unapotea mazima! No wonder rich mavoko amepotea masikini.

Hyo mikataba ya wasafi iangaliwe upya aisee!
Kwani wakati anasign alilazimishwa hakuna unyonyaji hapo Kama alikubali yeyemwenyewe tatizo la wasafi ni lipi?
 
Wasafi ni campuni,na inapo ingia unapewa mkataba usome ukiridhika saini sasa ndugu zangu kosa la wasafi liko wapi?sisi hamonize tungemujuaje?bado anafaida kubwa sana tena na hiyo faida ameipata toka wasafi pesa anazo toa kwake ni ndogo sana kuliko faida aliyo pata.
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
 
Mbona mnajadili ujinga ujinga Harmonize alisaini mkataba na ndani ya mkataba kuna vitu vingi amba vyo sisi hatuvijui ila yeye harmonize alitaka yeye kuvunja mkataba ambao umemtaka alipie ml500 ili kujiondoa kwenye lebo

Na mkataba alilizika nao yeye harmonize na kusaini mwenyewe sasa linapokuja swala la harmonize kuvunja mkataba si avunje tu! Kulalamika lalamika yanini na kuchanganya diamond kwa vitu smbavyo
Umemaliza Kila kitu mzee baba atayekujibu unitag
 
Back
Top Bottom