Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Kabisa yan yy anafanya vitu kwa faida yake
Mtizame yule Qboy mnayedai alinyonywa WCB anaomba msamaha anataka arudi tena kundini.Ongeeni tu ila MUDA mwalimu mzuri sana.

Mnadai ananyonywa lkn kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba mbili ambazo leo hii,anazitumia kununua sehemu ya mkataba uliobakia.

Baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Jana Nimemwona QBoy Amebaki Kuwa Kinyozi Tu, Kariakoo !

Domo Ukimchekea Utabaki Kupata Tu Sifa Mitandaoni, Mademu, Na Show Offs.

Ukichokwa Unapigwa Chini, Unapotea.

Harmonize Kashtuka Mapema. Anaweza Kuinuka
Qboy leo analia anaomba arudi WCB,baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Qboy leo analia anaomba arudi WCB,baniani mbaya kiatu chake dawa.
Qboy Analia Kwa Kuwa Alishafanywa Mtumwa, Kitu Ambacho Ni Upumbavu.

Kwa Muda Wote Aliofanya Kazi Na Domo, Ni Jambo La Ajabu Sana Kushindwa Kujitegemea
 
Asa Sijui nikagongeee nyagii

eeh

Au nikagongee veve

eeh


au nikagongeee Bananaaaaa

eeh


Au nikagongeee yokozuma

eeh
 
Back
Top Bottom