We si ulisema Wasafi wamenyonya amebaki kuwa kinyozi sasa hivi.
Wakati alipokuwa Wasafi alikuwa ana drive na posho analipwa kwa kazi ya kumvalisha na kumnyoa Diamond ,bila kusahau alikuwa anasafiri na Diamond sehemu yoyote ila mwenzake Kifesi ,aliyekuwa wakisafiri kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba na gari na wote walikuwa wakilipwa.
Bila kusahau mwenzake Kifesi kafungua studio kubwa ya kupiga picha,mtaji kaupata kupitia WCB.
Siku zote MUDA mwalimu mzuri ,baniani mbaya kiatu chake dawa,swala la muda tu nyeusi na nyeupe zitajulikana.