Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Uko sahihi kiongozi ndio maana mpaka sasa kinachongoolewa ni Matukio kati yake WCB na Clouds.

Watu wamesahau kuwa Jana kaachia wimbo wake mpya, ambalo ndio lilikuwa lengo hasa la mahojiano ya Jana.
 
Uko sahihi kiongozi ndio maana mpaka sasa kinachongoolewa ni Matukio kati yake WCB na Clouds.

Watu wamesahau kuwa Jana kaachia wimbo wake mpya, ambalo ndio lilikuwa lengo hasa la mahojiano ya Jana.
Nafikiri hiyo pia ni kama kiki kwake ambayo hujadiliwa kwanza then ndio mtu aende kucheki wimbo wake ambapo karibia wasanii wote hutumia mfano Roma alipotekwa alivyorudi na wimbo likaanza jadiliwa kwanza kutekwa kwake hata Diamond toka anaachana na wema unatoka wimbo wakirudiana unatoka wimbo wakiachana na zari unatoka wimbo ni kamtindo flani huwa kinatumikaga na ukicheki toka atoke wcb hajawahi ongelea hilo swala wala kufanya media tour
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Mhh! Tanzania uwaziri kila mtu anastahili.
 
Milioni mia 500 kanunua nini? Kweli Town makolongwee hayaishi.
 
Harmonize alifundwa vizuri pale kiwandani USAFINI. Hawezi kukubali kujibu maswali ya ovyo ovyo
 
Yes kawaida ya mkataba ukivunja lazima upe, kwa Wasafi waliko mtoa Harmonize na thamani na pesa alizokwisha kuingiza ni zaidi ya hiyo hela, So lipa tu maisha yaendelee.
Huo mkataba ni wa kukomoana its as if wamemwambia arudishe kila kitu alochovuna alipokuwa wasafi wkt wao pia walipata faida sana kupitia Harmonize
 
Huu mkataba mbona ulimbana sana?
Wasanii ni jeuri sana mkuu. Bila mkataba wa kumbana sana atakuachia manyoya wewe boss wake. Kama hivyo bila mkataba wa kumbana kama hivyo, unafikiri angeondokaje? Kwa fujo na jeuri huku akiendelea kutumia vitu alivyokwezwa kutokea WCB. Yeye tayari kanufaika na kukuzuia brand yake, na sasa imekuwa kuuubwa. Je, unafikiri WCB wangenufaika na nini? Wasanii wote hata USA, mikataba yao iko hivyo. Fukunyua mikataba ya Michael Jackson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…