kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Hivi kabwili ndio yupo seriazi kabisa??Atimae msanii harmonize rasmi ameachia wimbo alioshirikishwa na kundi la mabantu remix inaitwa Utamu, katika wimbo huo wa utamu remix harmonize amesema kuwa ukimletea mambo ya kabwili unapunguza utamu[emoji1]
Ikumbukwe mchezaji huyo wa yanga ameandamwa na skendo ya ushoga kitu ambacho kimewafanya mashabiki wake kupata sitofahamu
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi ukiwaacha watoto kwenye tv wanajifunza ushenzi tu mm nimeweka cd na frash za masomo na nyimbo za din na katuni ila ndo uwaache waangalie tu utakuta wanakuimbia.... mpelekee moto.Yani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.
Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Ni ngumu sana kuwachunga watoto, mimi mwanangu ni mwendo wa channels za katuni lakini nashangaa anafahamu nyimbo nyingi sana. Nikimuuliza anasema anasikia kwenye school bus na wanafundishwa shuleni.Sasa hivi ukiwaacha watoto kwenye tv wanajifunza ushenzi tu mm nimeweka cd na frash za masomo na nyimbo za din na katuni ila ndo waachie waangalie tu utakuta wanakuumbia.... mpelekee moto
Hii imeanza kitambo sana. Juzi Ijumaa mwanangu alikua anamaliza chekechea wakawa wanasherehekea na nyimbo zilizokua zinapigwa ni hizo za mpelekee moto, kanyaga, msambwanda kwa buku jero n.k.Yani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.
Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Uko sawa kabisa hata mimi shuleni kwa mwanangu eti walikuwa wanapiga nyimbo hizi hizi kwenye hayo mahafari.Hii imeanza kitambo sana. Juzi Ijumaa mwanangu alikua anamaliza chekechea wakawa wanasherehekea na nyimbo zilizokua zinapigwa ni hizo za mpelekee moto, kanyaga, msambwanda kwa buku jero n.k...
Yani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.
Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Unalosema ni kweli kabisa ila inashangaza kwanini jamii inapenda sana ngonoSupplier anapeleka Sokoni bidhaa inayohitajika
Wakitaka Gongo peleka Gongo…ukijifanya mtu wa lishe ukawapelekea juice ya Chungwa na Mchicha wa kuchemsha utafunga duka lako kwa kukosa wateja
Kiukweli ni ujinga sana kwa wasanii wetu kutumia matukio machafu kwenye nyimbo zao, alianza kaka yake kwenye ishu ya amberruty naye kaigaHuyo Harmonize aache kutafuta kiki kwa kijana kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi wa moja kwa moja dogo akimfungulia kesi ya kumchafua asije baadae akaanza kuitisha press za kutia huruma
Hapo Sawa