mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Sasa hapo anamshtaki kwa lipi,harmonize akiulizwa mahakamani atasema alikuwa anamaanisha "usidake mpira vizuri kama kabwili utaharibu utamu wa mpira"na kesi inaishia hapo kwani kuna sehemu amesema kabwili ni shoga au ni nyinyi wasikilizaji ndio mna mawazo yenu ya kingono ngono!!Kabwili amfungulie Kesi ya kumchafua.