Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Unapunguza utamuNdio mana mi watoto wang na wawekea xx waangalie hakuna jipya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapunguza utamuNdio mana mi watoto wang na wawekea xx waangalie hakuna jipya hapa
Kabisa mkuuYani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.
Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Utaskia naiinamia sijui naikatikia, nipe karoti sijui mwagia ndani yaani ni ushenzi mtupuNi ngumu sana kuwachunga watoto, mimi mwanangu ni mwendo wa channels za katuni lakini nashangaa anafahamu nyimbo nyingi sana. Nikimuuliza anasema anasikia kwenye school bus na wanafundishwa shuleni.
Potelea karibu ila home hakuna kutazama channels za miziki maana mtu huna hakika wimbo unaofuata watakuwa wanaimba nini.
90% ya nyimbo wanaimba ngono tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mende ww