Harmonize rasmi amuimba Kabwili kipa wa Yanga

Harmonize rasmi amuimba Kabwili kipa wa Yanga

Yani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.

Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Kabisa mkuu
 
Ni ngumu sana kuwachunga watoto, mimi mwanangu ni mwendo wa channels za katuni lakini nashangaa anafahamu nyimbo nyingi sana. Nikimuuliza anasema anasikia kwenye school bus na wanafundishwa shuleni.

Potelea karibu ila home hakuna kutazama channels za miziki maana mtu huna hakika wimbo unaofuata watakuwa wanaimba nini.
90% ya nyimbo wanaimba ngono tu
Utaskia naiinamia sijui naikatikia, nipe karoti sijui mwagia ndani yaani ni ushenzi mtupu
 
Back
Top Bottom