mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Sasa hapo anamshtaki kwa lipi,harmonize akiulizwa mahakamani atasema alikuwa anamaanisha "usidake mpira vizuri kama kabwili utaharibu utamu wa mpira"na kesi inaishia hapo kwani kuna sehemu amesema kabwili ni shoga au ni nyinyi wasikilizaji ndio mna mawazo yenu ya kingono ngono!!Kabwili amfungulie Kesi ya kumchafua.
Unazani kwanini kabwali hawekwi ata Reserve game za yanga?Huyo Harmonize aache kutafuta kiki kwa kijana kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi wa moja kwa moja dogo akimfungulia kesi ya kumchafua asije baadae akaanza kuitisha press za kutia huruma
Basata wako gizani kwenye kakona wale Dabyusibii wakiji changanya tu wanacho cha uso😄Yani siku hizi mambo yanashangaza huu wimbo umejaa maneno machafu. Nashangaa eti wanaouperform mbele ya watu wazima na redioni unapigwa.
Sijui kwanini nyimbo siku hizi zina maneno ya ngono tu
Hivi Kabwili yupi katajwa hapo.Huyo Harmonize aache kutafuta kiki kwa kijana kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi wa moja kwa moja dogo akimfungulia kesi ya kumchafua asije baadae akaanza kuitisha press za kutia huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mana mi watoto wang na wawekea xx waangalie hakuna jipya hapa
Kwani kabwili kuwa Gay na u golikipa wake unahusu nn? Kwani wale wachezaji wengine wao hawafanyi mapenzi? Kila mtu na hisia zake ktk masuala ya mapenzi, sio kupangiana. Lol.Unazani kwanini kabwali hawekwi ata Reserve game za yanga?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ooooh izo ni zama za kaleHuyo Harmonize aache kutafuta kiki kwa kijana kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi wa moja kwa moja dogo akimfungulia kesi ya kumchafua asije baadae akaanza kuitisha press za kutia huruma
Kwani kwenye comment yangu nmezungumzia lolote kuhusu Ayo mambo yake au nimehoji why hajumuishwi kikosini?Kwani kabwili kuwa Gay na u golikipa wake unahusu nn? Kwani wale wachezaji wengine wao hawafanyi mapenzi? Kila mtu na hisia zake ktk masuala ya mapenzi, sio kupangiana. Lol.
Hebu angalia statement yako japo ipo ktk mfumo wa swali, ba ungalie uliye mquote kazungmza nn, nwei sio case.Kwani kwenye comment yangu nmezungumzia lolote kuhusu Ayo mambo yake au nimehoji why hajumuishwi kikosini?
cocastic samahani kama hautajali kunijibu swali langu unaishi wapi?
😀amewatia aibu wana kidimbwi.Hivi kabwili ndio yupo seriazi kabisa??
Kwani harmonize alimaanisha kabwili yupi?Huyo Harmonize aache kutafuta kiki kwa kijana kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi wa moja kwa moja dogo akimfungulia kesi ya kumchafua asije baadae akaanza kuitisha press za kutia huruma
Basi nikuulize wewe mbona haonekani Yanga?Hebu angalia statement yako japo ipo ktk mfumo wa swali, ba ungalie uliye mquote kazungmza nn, nwei sio case.
Kwa ushahidi gani Mkuu?Kabwili amfungulie Kesi ya kumchafua.
Afungue mashtaka kwa ushahidi upi mkuu? Hivi unadhani kumshtaki mtu kwa udhalilishaji ni rahisi hivoKabwili afungue mashtaka, hiyo ni kesi ya udhalilishaji
Na itakuwa fundisho kwa wasanii wengine wanaoharibu wasifu wa watu ili wa hit kwenye ngoma zao
Kuna mtu huko nimemfunulia siri kuwa hata Adolf Hitler alikua Gay hakuamini.Hebu angalia statement yako japo ipo ktk mfumo wa swali, ba ungalie uliye mquote kazungmza nn, nwei sio case.