Harmonize tumekushtukia

Harmonize tumekushtukia

Una uhakika mond ni "mjenzi huru" au unaropoka tu unao ushahidi au ni story za vijiweni ?
Ukitaka kujua namaanisha nini kusema mjenzi huru, kamuulize mzazi wako wa kike maana tulikuwa nae hapo kijiweni.
 
Mond alivyo toka alitoa moyo wangu wengi walimponda na ulipata mapokezi mabaya badaee ndowatu wakauelewa maana aliimba style ambayo watu hawajamzoea
Mkuu Mond alipotoka huko alikuwa anatoa mawe hasa , Ngoma kama nikimwona ikisikika kwenye spika tu inachafua Hali ya hewa , sasa huyu anatoka alafu anaibukia na UNO na maskendo kibao, sasa hv katoa tena mipasho , nahs kaishiwa mashairi au Hana mshauri mzuri
 
Ukifatilia wanaosema kondeboy hajui nimashabiki wa wcb tu hawajui kama ndowanazidi kumpanisha juu kondeboy ni hot cake kwasasa ..
 
Nyie wote najua ni timu domo ndio maana mnamponda harmo ila sisi team kiba tutamsapoti hadi mwisho[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji38][emoji38][emoji38]
Msaidieni sasa

Mmemuua kibakuli kwa ushabiki wenu wa kimaandazi alafu mnataka kumpoteza tena harmonize

Wapambe ni watu wabaya sana!
 
Back
Top Bottom