Harmonize tumekushtukia

Harmonize tumekushtukia

naamini wachangiaji wengi waliopita ni under 35,ukiangalia comment nyingi zimekaa kichawi,so sad kwa sisi vijana kuwa na roho kama hizi eti kwa sbb tu ya mapenzi ya kitu au mtu fulani,vijana wa kitanzania tunauanza uchawi kwenye age hii!so sad
 
Jamani mbona hayo mambo ni kawaida sana au wenzetu mmeanza kutumia simu jana???
Team fulani mnakondea daily kwa kufatilia vitu vidogo vidogo, kwann hizo nguvu msizielekeze kumpromote boss wenu mvaa vikuku???

#Povu liwe jingi maana blankets zote chafu#
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wewe kijana mdogo unaishabikia Liverpool huo Ni uchawi.
 
Jamani mbona hayo mambo ni kawaida sana au wenzetu mmeanza kutumia simu jana???
Team fulani mnakondea daily kwa kufatilia vitu vidogo vidogo, kwann hizo nguvu msizielekeze kumpromote boss wenu mvaa vikuku???

#Povu liwe jingi maana blankets zote chafu#
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu boss wetu akifanya kitu kinajipromote chenyewe
 
Hila hilo swala la kuvaa kikuku hata Mimi sipendezwi nalo Jana asubuh naenda kazini nakutana nakijana mdgo kavaa kikuku mguuni.aliniharibia siku palepale hapa nafanya mpango nipate namba yake nianze kumtongoza[emoji23]
 
Sababu hamna kipya kafanya ndio maana nguvu, macho na akili mmezielekeza kwa mtu mpya... lol
Mnazidi kupoteza nuru machoni roho mbaya ikizidi.
 
Unataka kumtongoza boss wako huyo kijana???
Usisahau siku hizi anavaa hereni za kuning'inia, usoni anapaka make up na mdomoni anapaka lipstick.
 
Kila siku anafanya vitu vipya ndomana anazidi kupanda leo anaimba hallelujah miondoko ya reggae kesho anaimba rumba.
 
Unataka kumtongoza boss wako huyo kijana???
Usisahau siku hizi anavaa hereni za kuning'inia, usoni anapaka make up na mdomoni anapaka lipstick.
Hayo mambo alishaachaga mkuu au ndo unaingia leo mtandaoni.
 
Kama jinsi ambavyo Mali na Idea za Kanumba zilishindwa kuendelezwa kwakua yeye hayupo, Ndivyo jinsi ambavyo Harmonize hawezi kukiendeleza kile alichotoka nacho WCB kwa mjenzi huru Diamond, atashuka hadi moja ili aanze kwa jitihada zake.Kuna wasanii wengi tu wenye vipaji Na mashairi zaidi yake kama Barnaba, Ben po, na wengne wengi lakini mbona hawakuhit kama yeye ndani ya miaka miwili.?? Mziki wa tz ni zaidi ya kuwa na kipaji yaani:-

Mziki= kipaji
Ila sio kila kipaji=Mziki
Watu mnachuki sana kwanini? Mungu ndiye mgawa riziki, wewe mwenywe huenda maisha yakk ni useless
 
[emoji108]
Kelele za mtoto amekua aachwe ajitegemee siku hizi zimekwzimekwisha

Hao ndo wabongo dukinaaa,jaziba nyiiingi kwa kujidai kupaza sauti sasasasa wakikugeuzia kisogo na kwenda kulala wanakuacha ufe na lako.
 
Wao wanatumiwa video wanarepost. Hata ukienda kwenye wall ya Diamond utakuta kaweka video ya watoto wa shule wanacheza jinsi wanavyocheza haiendani na midundo ya mziki
 
[emoji706][emoji706][emoji705]
 
Back
Top Bottom