Harmonize tumekushtukia

Harmonize tumekushtukia

Watu mnachuki sana kwanini? Mungu ndiye mgawa riziki, wewe mwenywe huenda maisha yakk ni useless
Wewe mpaka nikugegede ndio ujue kuwa maisha yangu sio useless eeh?? Stick kwenye mada mambo ya maisha yangu hayakuhusu, ila maisha ya harmo lazma yajadiliwe kwakua ni celebrity, na ukweli ni kwamba ule moto wake haupo tena.
 
Haters ni wengi.Hata kama atashuka kimziki sioni sababu ya kurudi WCB.Huu ni wakati wake wa kuanza kujiwekeza kama ni biashara ama chochote kitakachomnufaisha mbeleni.Hata mziki ukidorora bado aendelee kuwa na chapoo na heshima yake mjini.
Point [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wewe mpaka nikugegede ndio ujue kuwa maisha yangu sio useless eeh?? Stick kwenye mada mambo ya maisha yangu hayakuhusu, ila maisha ya harmo lazma yajadiliwe kwakua ni celebrity, na ukweli ni kwamba ule moto wake haupo tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
naamini wachangiaji wengi waliopita ni under 35,ukiangalia comment nyingi zimekaa kichawi,so sad kwa sisi vijana kuwa na roho kama hizi eti kwa sbb tu ya mapenzi ya kitu au mtu fulani,vijana wa kitanzania tunauanza uchawi kwenye age hii!so sad
Wewe unatarajia kuwa mchawi ukiwa na miaka mingapi ?
 
Point [emoji122][emoji122][emoji122]
Unaweza kuwa wakwanza kwa wakati lakini uwezi ukawa wakwanza milele.Hata diamond hawezi kua kwenye pic milele.Utafika wakati na yeye atafifia ama atapotea kabisa ni jambo la wakati tu.Pia wasisahau Mond sio Mungu kwa Harmo ndio itakua mwisho wake wa maisha.Unapokutana na "changamoto" hazitufanyi tuzikimbie ama urudi nyuma (hapana)Dawa ni kuzi "face" na kukabiliana nazo.

Pia kila kitu anapanga Mungu.Harmo kipaji na ambiton alikua nayo.Diamond katumika kama njia tu ya kumfikisha panapotakiwa.Hata kama asingekua Diamond wakati wa Harmo kutoka ungefika angetoka tu hata iweje ni jambo la wakati tu...
 
Tatizo la huyo kijana ni kuikumbatia CCM, kwa jinsi watanzania wanavyoichukia CCM, nina uhakika na nyimbo za Harmonize hawazipendi.
 
Muda sio mrefu ataanza kuomba omba pesa za kusaidiwa. Njaa inakuja soon.

Njia pekee aliyobakia nayo ni kwenda kupewa ubunge wa bure bure kupitia CCM, akitemwa tu itakula kwake.
 
Unaweza kuwa wakwanza kwa wakati lakini uwezi ukawa wakwanza milele.Hata diamond hawezi kua kwenye pic milele.Utafika wakati na yeye atafifia ama atapotea kabisa ni jambo la wakati tu.Pia wasisahau Mond sio Mungu kwa Harmo ndio itakua mwisho wake wa maisha.Unapokutana na "changamoto" hazitufanyi tuzikimbie ama urudi nyuma (hapana)Dawa ni kuzi "face" na kukabiliana nazo.

Pia kila kitu anapanga Mungu.Harmo kipaji na ambiton alikua nayo.Diamond katumika kama njia tu ya kumfikisha panapotakiwa.Hata kama asingekua Diamond wakati wa Harmo kutoka ungefika angetoka tu hata iweje ni jambo la wakati tu...
Na save hiii[emoji122][emoji122] [emoji122]
 
Wewe mpaka nikugegede ndio ujue kuwa maisha yangu sio useless eeh?? Stick kwenye mada mambo ya maisha yangu hayakuhusu, ila maisha ya harmo lazma yajadiliwe kwakua ni celebrity, na ukweli ni kwamba ule moto wake haupo tena.
Kwanini harmonize? Kwanini SIO Barnabas? Kwanini SIO marioo? Je harmonize ndio msanii pekee Tanzania mbona wapo wengi? Unasema anapotea mbona kila siku mnamzungumzia yeeye?
 
Niliona nisimjibu maana unaweza kua unabishana na kitoto cha form four kilichomaliza pepa juzi na mbaya zaidi kilisomea boarding school hukoooo sigimbi.
Punkass[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Juzi kati hapa alikutana na davido dubai
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Screenshot_20191123-150855~2.jpeg
 
Niliwahi kusema,WCB hawawezi kutengeneza msanii mwingine wakufikia level ya Harmonize,Ndo mana baada ya kujitoa wana tumia nguvu kubwa kumkatisha tamaa ili arudi kupga goti,Badala wawapromote akina mbosso na akina Lavalava wanao pumulia mipira eti wako busy na konde boy,Tukimwondoa Diamond ni msanii gan tena ametoa hit ya kueleweka pale WCB toka Harmonize ajitoe? Achen uchawi.
 
Back
Top Bottom