Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wewe mpaka nikugegede ndio ujue kuwa maisha yangu sio useless eeh?? Stick kwenye mada mambo ya maisha yangu hayakuhusu, ila maisha ya harmo lazma yajadiliwe kwakua ni celebrity, na ukweli ni kwamba ule moto wake haupo tena.Watu mnachuki sana kwanini? Mungu ndiye mgawa riziki, wewe mwenywe huenda maisha yakk ni useless