Ukitaka kujua namaanisha nini kusema mjenzi huru, kamuulize mzazi wako wa kike maana tulikuwa nae hapo kijiweni.Una uhakika mond ni "mjenzi huru" au unaropoka tu unao ushahidi au ni story za vijiweni ?
Mkuu Mond alipotoka huko alikuwa anatoa mawe hasa , Ngoma kama nikimwona ikisikika kwenye spika tu inachafua Hali ya hewa , sasa huyu anatoka alafu anaibukia na UNO na maskendo kibao, sasa hv katoa tena mipasho , nahs kaishiwa mashairi au Hana mshauri mzuri
[emoji38][emoji38][emoji38]Nyie wote najua ni timu domo ndio maana mnamponda harmo ila sisi team kiba tutamsapoti hadi mwisho[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]