haa haa umejuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa haa umejuaje?
Kwa upande wako unapimaje ngoma nzuri?Sikuizi ngoma nzuri inapimwa kwa viewers na kukaa no 1 trending mda mrefu[emoji23]
Kwa upande wako unapimaje ngoma nzuri?
Akikujibu ni taghaa haa umejuaje?
Kwangaru ilikuwa na vibe. Views ni mbwembwe tuIla ilikuwa inasikika sana kote nchini na East Africa na wakati huo ndio iliongoza kuwa na mauzo makubwa kuliko ngoma yoyote kwenye East Africa.
Ila kwa upande wangu naangalia sana Melody na beat mashairi kwangu sizingatii kwa sababu Hakuna msanii yoyote wakunipa kitu kimpya Kama mapenzi nayafahamu utakuta kuliko wao na mambo mengine mengi ndo maana naipenda ngoma ya gigy money Sana ile ya "Nampa papa" kwa sababu ya beat yake na Melody.Yaani me ukiboronga tu kwenye beat na Melody hata uandike mashairi kiasi gani sitoipenda ngoma yako kabisaMelody/beat/mashairi
kwenye maandishi ni kweli kabisa na nakuunga mkono ukiandikachoKwa sasa Harmonize ni mkali kuliko Alikiba, hilo lipo wazi kabsa.
Ngoma zote zilizofanya vizuri sana lazima ziwe na viewers wengi ndo maana kwenye ngoma zote alizofanya darassa lakini ngoma yake ya "Muziki" ndio yenye viewers wengi hivo hivo kwa maua sama ngoma yake ya "iokote" inabaki kuwa ngoma yenye viewers wengi kwake na ilisumbua ile mbaya hata Kiba mwenyewe ngoma yake yenye viewers wengi ni "Mwana" ambayo iliyomrudisha kwenye game kwahiyo viwers sio mbwembwe mzee baba.Kwangaru ilikuwa na vibe. Views ni mbwembwe tu
Je unaionaje ngoma hii ya Kiba?Melody/beat/mashairi
Ngoma zote zilizofanya vizuri sana lazima ziwe na viewers wengi ndo maana kwenye ngoma zote alizofanya darassa lakini ngoma yake ya "Muziki" ndio yenye viewers wengi hivo hivo kwa maua sama ngoma yake ya "iokote" inabaki kuwa ngoma yenye viewers wengi kwake na ilisumbua ile mbaya hata Kiba mwenyewe ngoma yake yenye viewers wengi ni "Mwana" ambayo iliyomrudisha kwenye game kwahiyo viwers sio mbwembwe mzee baba.
Nimeipenda ni nzuri melody/beat 🔥🔥🔥Je unaionaje ngoma hii ya Kiba?
Uwezi kusema ni hatari kwa sababu ngoma tunaipima kwa muda mrefu kuanzia wiki one kuendelea hata ngoma nilzokutajia zimekaa muda mrefu.Kwa mtazamo wangu na ninavyoijua soko la Tz ngoma hii mpya itapotea hata wiki haifikiKwa hiyo unamaanisha wimbo wa Ali Dodo ni ngoma hatari kwa sasa?
Kwa maelezo unayotoa ya kujikanyaga kanyagaUwezi kusema ni hatari kwa sababu ngoma tunaipima kwa muda mrefu kuanzia wiki one kuendelea hata ngoma nilzokutajia zimekaa muda mrefu.Kwa mtazamo wangu na ninavyoijua soko la Tz ngoma hii mpya itapotea hata wiki haifiki
Naona tupo tofauti kwa upande wangu sijaipenda Beat Wala Melody kiufupi ngoma sijaipenda kabisa na sizani Kama itatoboa ila video yake nimependa.Nimeipenda ni nzuri melody/beat 🔥🔥🔥
Ngoma yako ikishindwa kutoboa ndani ya wiki moja hiyo teyali imefeli ni kweli kwa mziki wa sasa hivi ni ngumu ngoma yako ikaa kwa mwaka moja nzima inahit hata hata tu nusu mwaka ndo maana nikasema ukifanikiwa kwa wiki 1 hiyo it's kuwa hit teyali.Kwa maelezo unayotoa ya kujikanyaga kanyaga
Naweza kusema views hazina tija.
Bongo wasanii wengi vi nyimbo vyao ( hata vya Diamond included) huwa vinachokwa baada ya muda mfupi sana
Jeje ili trend no 1 kwa siku ngapi ?Ngoma yako ikishindwa kutoboa ndani ya wiki moja hiyo teyali imefeli ni kweli kwa mziki wa sasa hivi ni ngumu ngoma yako ikaa kwa mwaka moja nzima inahit hata hata tu nusu mwaka ndo maana nikasema ukifanikiwa kwa wiki 1 hiyo it's kuwa hit teyali.
Wiki 1 na nusuJeje ili trend no 1 kwa siku ngapi ?
Kwa hiyo ile promo yote haikusaidia chochoteWiki 1 na nusu
Hata hivyo Dodo iliingiza viwers 1m muda Fulani sasa hivi narudi kuangalia imeshuka hadi laki 7.sijui tatizoSikuizi ngoma nzuri inapimwa kwa viewers na kukaa no 1 trending mda mrefu[emoji23]