Harmonize vs Alikiba

Harmonize vs Alikiba

Melody/beat/mashairi
Ila kwa upande wangu naangalia sana Melody na beat mashairi kwangu sizingatii kwa sababu Hakuna msanii yoyote wakunipa kitu kimpya Kama mapenzi nayafahamu utakuta kuliko wao na mambo mengine mengi ndo maana naipenda ngoma ya gigy money Sana ile ya "Nampa papa" kwa sababu ya beat yake na Melody.Yaani me ukiboronga tu kwenye beat na Melody hata uandike mashairi kiasi gani sitoipenda ngoma yako kabisa
 
Kwangaru ilikuwa na vibe. Views ni mbwembwe tu
Ngoma zote zilizofanya vizuri sana lazima ziwe na viewers wengi ndo maana kwenye ngoma zote alizofanya darassa lakini ngoma yake ya "Muziki" ndio yenye viewers wengi hivo hivo kwa maua sama ngoma yake ya "iokote" inabaki kuwa ngoma yenye viewers wengi kwake na ilisumbua ile mbaya hata Kiba mwenyewe ngoma yake yenye viewers wengi ni "Mwana" ambayo iliyomrudisha kwenye game kwahiyo viwers sio mbwembwe mzee baba.
 
Kwa hiyo unamaanisha wimbo wa Ali Dodo ni ngoma hatari kwa sasa?
 
Uwezi kusema ni hatari kwa sababu ngoma tunaipima kwa muda mrefu kuanzia wiki one kuendelea hata ngoma nilzokutajia zimekaa muda mrefu.Kwa mtazamo wangu na ninavyoijua soko la Tz ngoma hii mpya itapotea hata wiki haifiki
 
Kwa maelezo unayotoa ya kujikanyaga kanyaga
Naweza kusema views hazina tija.
Bongo wasanii wengi vi nyimbo vyao ( hata vya Diamond included) huwa vinachokwa baada ya muda mfupi sana
 
Ngoma yako ikishindwa kutoboa ndani ya wiki moja hiyo teyali imefeli ni kweli kwa mziki wa sasa hivi ni ngumu ngoma yako ikaa kwa mwaka moja nzima inahit hata hata tu nusu mwaka ndo maana nikasema ukifanikiwa kwa wiki 1 hiyo it's kuwa hit teyali.
 
Jeje ili trend no 1 kwa siku ngapi ?
 
jeje imefika mbali africa nzima wanaijua na hata samata alipost akasema ulaya pia inapgwa, hii dodo haivuki boda mkuu
 
Back
Top Bottom