Harmonize vs Alikiba

Harmonize vs Alikiba

Uwezi kusema ni hatari kwa sababu ngoma tunaipima kwa muda mrefu kuanzia wiki one kuendelea hata ngoma nilzokutajia zimekaa muda mrefu.Kwa mtazamo wangu na ninavyoijua soko la Tz ngoma hii mpya itapotea hata wiki haifiki
Mtabiri TUMBOTUMBO WCB LIALIA eti ngoma itapotea hata week haifiki...KIBA HATENGENEZI NYIMBO BIGIJII mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Harmonize ni mkali kuliko Alikiba, hilo lipo wazi kabsa.
Nakazia hapo.. Alikiba kwasasa Jina tu libambeba Ila hata awe na ujumbe upi kwenye nyimbo zake Hakuna Kitu Kama hii DODO sijui kaswida si kaswida Yaan wimbo umelegea Kama mchuzi wa bamia anazidiwa hata na Tamba ya mbosso

Typed Using KIDOLE
 
utaitwa hater.
na hio kitu ndio inaharibu bongo flavour
Juzi hamadai na aslay wametoa bonge la ngoma...si ali kiba wala wowote wa wa sasa wcb unaingia

bell 9 katoa unafananaje, ngoma kali sana

Hazi trend

Kuna wakati kinachotrend ni habari tu na sio muziki

Trending ni results ya kuhabarishana kunategemea fan base...ilo sio kipimo cha muziki mzuri
 
Hamisa hajawah kuwa maarufu kuliko ALI KIBA mkuu tutolee upupu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ali kiba ndio alimtafuta Hamisa Mobetto mwaka 2010/2011 awe video vixen kwenye wimbo wa abdu kiba, "hatuna habari nao" na hamisa kaanza kujulikana hapo

Leo anapokuja mtu kuongea tofauti unamshangaa

Nadhani bado wanamchukilia Kiba wa kawaida sana
 
Back
Top Bottom