playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kama kawa kama cm Nokia au I phone siyo TECNO kila mwezi wanatoa toleo jipya hahahahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawa kama cm Nokia au I phone siyo TECNO kila mwezi wanatoa toleo jipya hahahahaa
Kuna nyimbo nzur nyingi tu na hazijapata views nyingi wala trending YouTube hiko ni kigezo chakoSikuizi ngoma nzuri inapimwa kwa viewers na kukaa no 1 trending mda mrefu[emoji23]
Jibu swali mkuu ILILETA TUZO GANI?Ila ilikuwa inasikika sana kote nchini na East Africa na wakati huo ndio iliongoza kuwa na mauzo makubwa kuliko ngoma yoyote kwenye East Africa.
Mtabiri TUMBOTUMBO WCB LIALIA eti ngoma itapotea hata week haifiki...KIBA HATENGENEZI NYIMBO BIGIJII mzeeUwezi kusema ni hatari kwa sababu ngoma tunaipima kwa muda mrefu kuanzia wiki one kuendelea hata ngoma nilzokutajia zimekaa muda mrefu.Kwa mtazamo wangu na ninavyoijua soko la Tz ngoma hii mpya itapotea hata wiki haifiki
Nakazia hapo.. Alikiba kwasasa Jina tu libambeba Ila hata awe na ujumbe upi kwenye nyimbo zake Hakuna Kitu Kama hii DODO sijui kaswida si kaswida Yaan wimbo umelegea Kama mchuzi wa bamia anazidiwa hata na Tamba ya mbossoKwa sasa Harmonize ni mkali kuliko Alikiba, hilo lipo wazi kabsa.
Kumbe Samata?..nilijua RASHFORD.jeje imefika mbali africa nzima wanaijua na hata samata alipost akasema ulaya pia inapgwa, hii dodo haivuki boda mkuu
Juzi hamadai na aslay wametoa bonge la ngoma...si ali kiba wala wowote wa wa sasa wcb unaingia
bell 9 katoa unafananaje, ngoma kali sana
Hazi trend
Kuna wakati kinachotrend ni habari tu na sio muziki
Trending ni results ya kuhabarishana kunategemea fan base...ilo sio kipimo cha muziki mzuri
Hamisa hajawah kuwa maarufu kuliko ALI KIBA mkuu tutolee upupu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna aibu kusema hivyo?Nakazia hapo.. Alikiba kwasasa Jina tu libambeba Ila hata awe na ujumbe upi kwenye nyimbo zake Hakuna Kitu Kama hii DODO sijui kaswida si kaswida Yaan wimbo umelegea Kama mchuzi wa bamia anazidiwa hata na Tamba ya mbosso
Typed Using KIDOLE
Hapana sio yeye pekee hiyo imemtokea nandy, baraka pamoja na darassa
Wewe si unayo mkuu