Harmonize vs Alikiba

Harmonize vs Alikiba

Sikuizi ngoma nzuri inapimwa kwa viewers na kukaa no 1 trending mda mrefu[emoji23]

Juzi hamadai na aslay wametoa bonge la ngoma...si ali kiba wala wowote wa wa sasa wcb unaingia

bell 9 katoa unafananaje, ngoma kali sana

Hazi trend

Kuna wakati kinachotrend ni habari tu na sio muziki

Trending ni results ya kuhabarishana kunategemea fan base...ilo sio kipimo cha muziki mzuri
 
Hapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
Hamisa hajawah kuwa maarufu kuliko ALI KIBA mkuu tutolee upupu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Harmonize ni mkali kuliko Alikiba, hilo lipo wazi kabsa.
Mkali?..ile live band tupu ya siku ya uzinduzi tuliangalia tu Basi tujue kinachoendelea mjini bt upupu mtupu hana uimbaji wa kumzidi Ali yeye hata boss wake wa zamani hamna waimbaji pale tena Ali mbali Belle 9 tu kawaacha 1000 miles.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa ni mtu mwenye mashabiki wengi lakini mashabiki wake sio wapenzi wa mziki ni Kama ilivyo kwa Zari yaani kiufupi ni socialite ndomaana nikakuambia after one week ngoma hiyo ya kiba itapotea ikisurvive tutaamini Kuna nguvu ya kiba kitu ambacho sitarajii.
Mbna yake na Bella haijawah kutrend kama issue ni mashabiki mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom