Harmonize wewe ni brand kubwa, gari unalotumia la V8 J200 ni la zamani!

Harmonize wewe ni brand kubwa, gari unalotumia la V8 J200 ni la zamani!

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Salute Jf.

Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.

Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani Konde Gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.
 
Salute Jf.

Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo tolea lilianza kutumika 2007 hadi 2010.

Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani konde gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.
Labda ndo uwezo wake. Unataka afake yaje yamkute aliyosema Vanessa. Yani uishi kwa jinsi watu wanavyotegemea wakati huafford.
 
Bei azijaachana sana
Kuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.

Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.

Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.
 
Nchi nzima muendeshe toyota as if hakuna option nyingine.
 
Back
Top Bottom