Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.
Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.
Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.
Kuna tofauti kubwa ya brand na uwezo, unaweza kuza brand but mfuko ukawa mgumu.Salute Jf.
Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.
Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani Konde Gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.