Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
unataka kusema hayo magari walitengenezewa wabunge tuKuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.
Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.
Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.