Harmonize wewe ni brand kubwa, gari unalotumia la V8 J200 ni la zamani!

Salute Jf.

Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.

Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani Konde Gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.
Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembwe
 
Kweli hii JF hamna mnyonge humu wala hoehae cha msingi ni ww mwenyewe kujipakulia minyama utakavyo,hongera kaka.......😀😀😀
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mara mia ya kondeboy........afande seleee ni legend katika muziki ila anatembelea Toyota Noah imechoka balaa
Angepata Ubunge kipindi kile sahizi angekuwa nalo V8 jipyaaa
 
Kuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.

Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.

Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.

kuna siku niliandika haya kwenye uzi mmoja wa diamondplatnumz,[emoji23][emoji23][emoji23]nilipigwa mapovu mpaka nikatakata.

inafikia hatua mtu unajiuliza kwani anapewa au ananunua!!!!atleast juzi kaenda kuipokea familia yake na mercedes benz.sijajua ni yake au ya kukodi ila nilisuuzika roho[emoji3577][emoji3577].
 
Hawa ndio wale kabla ya kununua gari anauliza, hivi gari gani kali nichukue,ina maana yeye yuko tayari kuendesha gari lenye test ya watu wengine...
 
kuna siku niliandika haya kwenye uzi mmoja wa diamondplatnumz,[emoji23][emoji23][emoji23]nilipigwa mapovu mpaka nikatakata.

inafikia hatua mtu unajiuliza kwani anapewa au ananunua!!!!atleast juzi kaenda kuipokea familia yake na mercedes benz.sijajua ni yake au ya kukodi ila nilisuuzika roho[emoji3577][emoji3577].
Benz aina gani?
 
Back
Top Bottom