Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembweSalute Jf.
Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.
Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani Konde Gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.
Kweli hii JF hamna mnyonge humu wala hoehae cha msingi ni ww mwenyewe kujipakulia minyama utakavyo,hongera kaka.......😀😀😀Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembwe
'mbn mm natumia toyota voltz ya 2017'.Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembwe
Voltz ilianza 2002 ikaisha 2009..Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembwe
09'mbn mm natumia toyota voltz ya 2017'.
Mbona hio gari model ya mwisho iliyotengenezwa ni ya 2008?
Kuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.
Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.
Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.
Mara mia ya kondeboy........afande seleee ni legend katika muziki ila anatembelea Toyota Noah imechoka balaa
Hawa ndio wale kabla ya kununua gari anauliza, hivi gari gani kali nichukue,ina maana yeye yuko tayari kuendesha gari lenye test ya watu wengine...kuna siku niliandika haya kwenye uzi mmoja wa diamondplatnumz,[emoji23][emoji23][emoji23]nilipigwa mapovu mpaka nikatakata.
inafikia hatua mtu unajiuliza kwani anapewa au ananunua!!!!atleast juzi kaenda kuipokea familia yake na mercedes benz.sijajua ni yake au ya kukodi ila nilisuuzika roho[emoji3577][emoji3577].
Sasa hivi afande sele anatembelea proboxMara mia ya kondeboy........afande seleee ni legend katika muziki ila anatembelea Toyota Noah imechoka balaa
Ha ha haMara mia ya kondeboy........afande seleee ni legend katika muziki ila anatembelea Toyota Noah imechoka balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora mwenye Noah anaokota 'vichwa' njiani!
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi afande sele anatembelea probox
Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila kendembwe
Hahah nasubiri akujibu chief.Voltz waliendelea na production hafi 2017??
Cc Samba Mpangala
Hahaa kakimbia aisee.Hahah nasubiri akujibu chief.
Kwa sababu umeelewa alichokiimba huyo mwamba niliyemtag.Sijui why nimecheka[emoji23][emoji23]
Benz aina gani?kuna siku niliandika haya kwenye uzi mmoja wa diamondplatnumz,[emoji23][emoji23][emoji23]nilipigwa mapovu mpaka nikatakata.
inafikia hatua mtu unajiuliza kwani anapewa au ananunua!!!!atleast juzi kaenda kuipokea familia yake na mercedes benz.sijajua ni yake au ya kukodi ila nilisuuzika roho[emoji3577][emoji3577].