unataka kusema hayo magari walitengenezewa wabunge tuKuna watu hawana taste ya magari mkuu. Mfano yani ikipack land cruiser V8 ya 2020 na ranger rover ya 2020, wa range rover atakuwa katisha sana yani wengi wanamtaka.
Utakuta vi BMW vingi vilivyo hapa town vinachezea milion 15-22, lakini unakuta mwenye crown athlete hizi ambazo wasanii wengi wanamiliki zinachezea 15-17 na mwenye kibmw same bei, lakini wa BMW ataonekana mnyama zaidi.
Kumiliki gari kama la mbunge wakati wewe ni msanii sometimes ni kutokuwa na taste ya magari.
Hapana mkuu soma uelewe ninachomaanishaunataka kusema hayo magari walitengenezewa wabunge tu
Benz aina gani?
unataka kusema hayo magari walitengenezewa wabunge tu
Bongo kidizain weng wanafake yy yupo real hapend show off na mavitu yenye hawez kufikia and its nice person kuwa real mbn mm natumia toyota voltz ya 2017 na nafika club bila ngendembwe
Ipo ya mwwka gani?@Gef njoo uone uongo wako huku hakuna VOLTS YA 2017
😂😂😂😂'mbn mm natumia toyota voltz ya 2017'.
Mbona hio gari model ya mwisho iliyotengenezwa ni ya 2008?
[emoji23][emoji23]'mbn mm natumia toyota voltz ya 2017'.
Mbona hio gari model ya mwisho iliyotengenezwa ni ya 2008?
Mnunulieni RR kama ile ya Boss wake wa zamani anayoisubiri ifike.
DuuhSalute Jf.
Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.
Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana local Sana bro naamini humu ndani Konde Gang manegment wako watakuwepo Kama umeufungua huu uzi fanyie kazi hili swala.
🤣Inatoka sayari gani, mbali sana![emoji848]
HahahaMara mia ya kondeboy........afande seleee ni legend katika muziki ila anatembelea Toyota Noah imechoka balaa
Mnunulieni RR kama ile ya Boss wake wa zamani anayoisubiri ifike.