M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Fursa imeyeyuka! Dogo kashtuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U sure? I think She is not.30's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku asipoji skim kwa white cement na kujipaka hayo marangi rangi kuanzia kwenye nywele hadi mwili mzima dogo atamkimbia
Yule Mchaga atakubali kuolewa na mtoto wa kiswahili namna ile?Sijui , huwa haitokei, angalia akina Vanesa mdee, Na madem wengi wa kichagga lazma waolewe na watu waliotulia.Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.
![]()
Uhusiano wa wawili hao hauna hata mwezi tangu uweke bayana.
Akiongea na kipindi cha The Premier cha Kings FM, Harmonize alisema hajali watu wanavyosema kuwa Wolper ana umri mkubwa kumzidi.
Msikilize zaidi hapo chini akiongelea mahaba yake na Wolper.
Harmonize - Kuhusu Wolper - download and stream
Vanesa Mchaga?Yule Mchaga atakubali kuolewa na mtoto wa kiswahili namna ile?Sijui , huwa haitokei, angalia akina Vanesa mdee, Na madem wengi wa kichagga lazma waolewe na watu waliotulia
Kilimanjaro-Pare, ni wale wale, hata akiwa m'meru!Vanesa Mchaga?