Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Kweli tatizo ni timu..

Sasa mnaofikiri Harmonize kuwa na Wolper ndo ataporomoka kimuziki mmekosea sanaa.
Harmonize anamtumia Wolper kama daraja ya kufanikiwa zaidi.
Ref: diamond and wema mlidisi sana hvyo dogo na yeye anapitia njia hiyo hiyo kufikia mafanikio.
ok, Time will tell... yetu macho[emoji102]
 
Juzi niliona wanapambanishwa Wolper na Wema nani mkari wa kuopoa midume yenye fedha, wakidhani wanawapandisha, kumbe ndo wanawashusha.
 
Wivu wa kike
 
Safi sana homeboy ni mda wetu huu tafuna nyuchi mpaka wachaga waandamane ila usituangushe tu si unajua si tunaendaga jando? Naamini utafanyia kazi yale maujuzi tunayofundishwa ngoja tuwafunze mapenzi wanaume wa Dar na Arusha.
 
Jilie ze utamu wa mtt wa kichaga
 
Watu mapovu yanawatoka,iwe ni kweli wanapendana au ni kiki hayo ni yao kwani kwa sasa inatubidi tuweke akiba ya maneno tusijiapie kama vile tumeingia akilini mwao. Kumbukeni master mind wa huu mchezo ni DIAMOND yeye ndio anamuongoza Harmo hawezi akakubali amalizwe pesa kwa ajili ya huyo demu, na hata Wolper keshakuwa kiakili si yule wa mwanzo aliowapenda kwa pesa walimtenda sasa hivi anataka kutulia. NA HIVI TUNAVYOONGEA WAPO N'TWARA KAMPELEKA MCHAGGA KUMTAMBULISHA KWA WAZEE, NA MUSISHANGAE MCHAGGA AKABEBA MIMBA YA N'JOMBA N'CHUMALI.
 
Tatizo ni kwamba 'K' huwa haichachi... usikute dogo alikuta mashine haijatumika ka wiki 3 hivi.. kitu tight...

mambo haya mazitooo
 
Tatizo ni kwamba 'K' huwa haichachi... usikute dogo alikuta mashine haijatumika ka wiki 3 hivi.. kitu tight...

mambo haya mazitooo
Hivi kumbe ikikaa mda bila kutumika inajirenew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…