Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]

Watch out bro Umekosea sana
Acha uongo wewe vizee mbona havitafuti wabibi
 
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.

x13248960_733309796808616_276779801_n.jpg.pagespeed.ic.mviNVeesju.jpg

Uhusiano wa wawili hao hauna hata mwezi tangu uweke bayana.

Akiongea na kipindi cha The Premier cha Kings FM, Harmonize alisema hajali watu wanavyosema kuwa Wolper ana umri mkubwa kumzidi.

Msikilize zaidi hapo chini akiongelea mahaba yake na Wolper.
Harmonize - Kuhusu Wolper - download and stream

Sasa inatuhusu nini sisi
 
Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]

Watch out bro Umekosea sana

Toa mfano mwingine, Barakah DA prince alianza kutoka na Nisha (bongo movie haohao ambae kamzidi umri wa kutosha) na sasahivi kajichukulia najma (ambae pia mkubwa kwake na kila mtu anafahamu ilikuwa chakula ya Blue na Diamond)

Wote wapo njia hiyohiyo moja ya kutumia mahusiano kama njia mojawapo ya kuwaboost kimuziki

Na hakuna ataeshuka kimziki kwa sababu hizi, hii inampa media coverage na kuwa controversial kwa mashabiki kitu kinachomsaidia msanii akiwa na ngoma iwafikie fans wake. Japo huwezi kufanikiwa kupitia kiki bila juhudi na kazi nzuri, kiki ni kama platform tu..

Hawa wasanii wengine ambao hawapo controversial utakuta anasifika saaana kuwa anatabia nzuri n.k ila mashabiki haohao hata video zake zikitoka hawatoi views wengi youtube, shows hajaxi kiivo, hawamfuatilii kivo kwenye social media, hata jamii forums huwezi kuikuta thread inayomuhusu tofauti na akitoa wimbo na tucomments 6 - 10. (mfano. belle9, barnaba, n.k)
 
Tatizo ni kwamba 'K' huwa haichachi... usikute dogo alikuta mashine haijatumika ka wiki 3 hivi.. kitu tight...

mambo haya mazitooo
Pia wajuvi wa mambo wanasema,halua haina makombo!
 
Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]

Watch out bro Umekosea sana
Ivi Baraka ndio wakumtolea mfano kweli? Amebadilisha mademu wangapi mpaka sasa unataka dogo afe kwa ngoma?
 
Kwa hiyo wolper huyo aliye na harmonize hajabadilishwa eeehh..??[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Umemkosoa Hamonize kwa kumtolea mfano atulie kama Baraka je Baraka katulia na wangapi mpaka sasa toka awe star?
 
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.

x13248960_733309796808616_276779801_n.jpg.pagespeed.ic.mviNVeesju.jpg

Uhusiano wa wawili hao hauna hata mwezi tangu uweke bayana.

Akiongea na kipindi cha The Premier cha Kings FM, Harmonize alisema hajali watu wanavyosema kuwa Wolper ana umri mkubwa kumzidi.

Msikilize zaidi hapo chini akiongelea mahaba yake na Wolper.
Harmonize - Kuhusu Wolper - download and stream
mihemko bhana, mwisho yatajulikana tu
 
Back
Top Bottom