Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

dogo kula bwana kwani wewe ni under 18... kulaaa tuu... kuna wengine wanamtamani wolper basi tu
Somo!
Ntoto nzuri hadi watu wanapagawa....yani amenoga hata achikilimu haiingii ....chiambiliki kabicha!
 
Ivi Wolper wkt Harmonize Hajarekodi Hata kawimbo kkamoja si ulikuwa unampita tu Na kumsonyaaa???jamani Dada kuwa Na Hurumaaa Na Huyoo Mtoto mwache atafute visichana vyenye umri wakeee mbona unataka KUMBEMENDA???haki za binadamu mpo wapiiiii....Atakula hela yakee tu ikiisha anasepa...Hurumaa jamani.Eti unanifanya mabusu sijuii Maudendaa Usaniii mtupuuu..Dogo Amka unaibiwa Kwenye Mwanga...Hatuingilii lakini Wolper tunamjuaaa anataka Apige Akimbieee wangapi kawapiga Na wengine wakampiga???analipishaa Visasi.. eeeeh Mtoto wetu Harmonize shtukaaaaa!!
 
Ila tu asije kutulilia huko instagram..."ooh nimeachwa mwenzenu,alikuwa ananitumia tu, kaona nimefulia kanikimbia",ameyataka mwenyewe chinga boy.
 
Ivi Wolper wkt Harmonize Hajarekodi Hata kawimbo kkamoja si ulikuwa unampita tu Na kumsonyaaa???jamani Dada kuwa Na Hurumaaa Na Huyoo Mtoto mwache atafute visichana vyenye umri wakeee mbona unataka KUMBEMENDA???haki za binadamu mpo wapiiiii....Atakula hela yakee tu ikiisha anasepa...Hurumaa jamani.Eti unanifanya mabusu sijuii Maudendaa Usaniii mtupuuu..Dogo Amka unaibiwa Kwenye Mwanga...Hatuingilii lakini Wolper tunamjuaaa anataka Apige Akimbieee wangapi kawapiga Na wengine wakampiga???analipishaa Visasi.. eeeeh Mtoto wetu Harmonize shtukaaaaa!!
Ntonto una ntawaza? Nkubwa mwenzi nkuiita ntonto ni dharau somo!

Somo chiambiliki kwa huyo ntonto...
 
Njomba amonaizi nipo ubungo na chamaki nchanga
Chili chamaki chacha hivi nakula baga na ntonto nzuri wolper amenoga!

Kwanza mimi si mmakonde mimi ni ntu wa Chumbiji ndugu yake joachimu chichano!
 
NAONA DHAMBI KUNYIMA NTU KITU NGALI NINACHO
 
Izoo nywele Wolper angebadilisha kidogooo angeonekana kabinti..unajua unaweza fekisha muonekano Ukawa kama Kabinti kwa style ya kawaida kuliko hayoo ma style ya Ushangingi..Harmonize weeee Ustar wataka moyooo
 
Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]

Watch out bro Umekosea sana
Wewe wa wapi huyu demu Naj alishapita na Blue akaja akapitiwa na DIAMOND,ona hapa.
MR BLUE: WEMA, NAJMA WALINIFILISI | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Back
Top Bottom