Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuja njini ni kocha?acha ushamba we nangu nangu! umetoka sitimbi uko umekuja dar kutafuta maisha, unaacha kuchanga ili uwasaidie ndugu zako unaanza kuleta usengelema na kanyimbo kako kamoja ako, we lete ujinga wako town apa urud kwenu uko ukalime ming'oko! kick hazitafutwi ivyo mdogo wangu
Njini kutamu..baaaaahAnalomba tuu bhaaa
Hahahahh. Age aint a matter sio?Isn't a matter. according to mmakonde.
Njomba nkubwa eh!!Kuja njini chi kocha,kocha kuanja kula unchi ya wankubwa wakeKwani kuja njini ni kocha?
Namuonea huruma mdogo wangu ila namuombea lakini pia ishu za mahusiano zina allergy na kupayuka hasa kwenye vyombo vya habariKichefu chefu
Kwao ni 'Tamu kumeza'Kichefu chefu
Ukizingatia wana mwezi mmoja na wiki 2, mbwembwe kibaoooo,Namuonea huruma mdogo wangu ila namuombea lakini pia ishu za mahusiano zina allergy na kupayuka hasa kwenye vyombo vya habari
Kwetu ni mashokoloKwao ni 'Tamu kumeza'
Let's wait this time next year. tukumbushane yaliyojiri tukijaaliwaUkizingatia wana mwezi mmoja na wiki 2, mbwembwe kibaoooo,
"ujinga mzigo"
29That's what's up....and good for them.
Btw, how old is Ms. Wolper?
In shaa Allah.Let's wait this time next year. tukumbushane yaliyojiri tukijaaliwa
It depends 😀That's what's up....and good for them.
Btw, how old is Ms. Wolper?