Harmony OS 2 yaonesha kwamba China inajitegemea katika uvumbuzi wa sayansi na teknolojia

SHIDA HUNA ELIMU NA MAMBO HAYA
πš†πš’πšŸπšž πš–πš”πšžπšž πšžπš”πšžπšπšŽ πš‘πšŠπš™πš˜ πšŠπš—πšŠπš˜πš—πšŠ πš πš’πšŸπšž πš πšŠπšŒπš‘πš’πš—πšŠ πš”πšžπš’πšœπš‘πš’πš—πšπšŠ πš‘πš’πš’ πšŸπš’πšπšŠ
 
π™Ίπš πšŠπš—πš’ πšŠπš“πšžπšŠ πš”πšŠπš–πšŠ 𝚊𝚝𝚊 πš”πš πšŽπš—πš’πšŽ πšŒπš˜πš–πš™πšžπšπšŽπš› πš™πš’πšŠ πšžπš—πšŠπš πšŽπš£πšŠ πš”πšžπšπšžπš–πš’πšŠ πš‘πš’πšŸπš˜ πšŸπš’πšπšž πš‹πš’πš•πšŠ πš”πšžπš πšŠ 𝚊𝚌 𝚒𝚊 πšπš˜πš˜πšπš•πšŽ? πš–πšŠπš’ πš‹πšŽ πšπš–πšŠπš’πš• πš—πšŠ πš’πš˜πšžπšπšžπš‹πšŽ? 𝚊𝚞 πš•πš’πš—πš’ πšŠπš•πš’πšœπš’πšπš— πš’πš— πšπš‹ πšŠπš”πšŠπš–πš‹πš’πš πšŠ πš•πšŠπš£πš’πš–πšŠ 𝚊𝚠𝚎 πš—πšŠ πšŠπšŒπš˜πšžπš—πš 𝚒𝚊 πšπš–πšŠπš’πš•?
 
Hiyo ni android os iko hivyo na kwa taarifa yako hawawezi kutoboa kwa sababu dunia ya leo bila Google services ni sawa na bure Google services Kwenye hivyo vifaa haisupport anyway ngoja wajuvi wake
Ulichokiandika hapa kinasadifu umasikini wako uliojaa chuki
 
Unafanya sideloading sio lazima kuwe na playstore
 
Lakini sio kwamba hizi app ni za US na serikali yake inapiga marufuku kwa kampuni hizi kufanya ushirikiano na China, sababu ya kuwa serikali ya China itakuwa inachakachua information za watu.

Tatizo sio kwamba whatsapp, twitter, facebook, instagram lazima uwe google lakini kama ni mfumo wa Mchina sijui kama US itaruhusu kampuni zake kufanya kazi na operating system ya China labda app yao tiktok tu...
 
Jamani Asia inanyanyuka iyo haisingizii wazungu Kama sie.
Huku akili ambazo zingebuni Mambo makubwa muda mwingi ni kuongea kula tunda kimasihara,
Mara vumbi la Kongo.yaani sijui tunafanya Nini kwa ajili ya wajukuu wetu.hatuwazi baada ya 200 years Kuna Nini litatokea Nini kwetu.
Ngoja tuwaze namna ya kumkuna mwanamke kisimi anyonywe akojoe
 
TATIZO LA BAADHI YA WATU HUMU MNAKUAGA KAMA MNAWASHWA NIMEKUULIZA KATIKA MAELEZO YANGU KUNA SEHEMU NIMETAJA HIZO APP ZINAMILIKIWA NA GOOGLE?....ACHA KUKULUPUKIA MAMBO UNAJIFANYA UNAJUA KULIKO WENYEWE PUMBAVU
 
Ssa mbona ulisema mtu hatoweza kuzitumia bila Google services ulimaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23]mzee mambo usiyoyajua yaache tu yakupite
Sikia wewe kitobo....kusema huwezi kutumia bila Google services ndo nimesema hizo app mali ya Google?...acha kudandia gali kwa mbele utaliwa shwain wahedi
 
Nina Huawei mate 30 pro kama hiyo kwenye picha
Hizo app nilizo kutajia hazifanyi kazi mpaka uweke Google services kila unapofungua hizo app ina sema uweke kwanza Google services nimeshazunguka nayo kwa kila fundi software imeshindikana ninayo tu natumia vitu vingine ila sio vitu vinavyotaka Google services....nimemua Hadi kuiuza lakini inasumbua kwa sababu ya hiyo...alafu lipo jitu linatumia tecno k7 maneno meengi linabishana
 
sikia man Trump alizipiga kampuni zote za kimarekani ikiwemo Facebook so hazipo sio kwa sababu ya Google services. Hafu pia mmarekani anajitekenya mwenyewe coz hizo app zote mchina ana altenative yake Kama Whatsapp kuna wechat na Google Kuna baidu
 
Wachina wenyewe wanasema hawana uwezo wa kugundua kitu... wao ni kucopy tu... elimu ya ugunduzi wanayo wachache sana duniani china alipatikana mmoja tu aliyegundua wireless device tena kwa kuiga iga mfumo wa cordless
 
Hiyo ni android os iko hivyo na kwa taarifa yako hawawezi kutoboa kwa sababu dunia ya leo bila Google services ni sawa na bure Google services Kwenye hivyo vifaa haisupport anyway ngoja wajuvi wake
Hiyo Google Services ipo China ? China ni consumer mkubwa wa mobile devices kwao kutokua na google services ni kawaida... jambo la kujiuliza ni watakua wanainfluence gani kwenye mataifa ambayo tumezoea google services ili iweze kupenetrate ila within China kazi imekwisha na kwa tabia ya China yakulinda manafacture wake wa ndani tusubiri jambo Soon.
 
sikia man Trump alizipiga kampuni zote za kimarekani ikiwemo Facebook so hazipo sio kwa sababu ya Google services. Hafu pia mmarekani anajitekenya mwenyewe coz hizo app zote mchina ana altenative yake Kama Whatsapp kuna wechat na Google Kuna baidu
Mkuu umewahi tumia Baidu? WeChat ninaitumia, ingawa huwa yaniletea shida kwenye simu. Nikiitoa, hupa sipati hizo shida.
 
TATIZO LA BAADHI YA WATU HUMU MNAKUAGA KAMA MNAWASHWA NIMEKUULIZA KATIKA MAELEZO YANGU KUNA SEHEMU NIMETAJA HIZO APP ZINAMILIKIWA NA GOOGLE?....ACHA KUKULUPUKIA MAMBO UNAJIFANYA UNAJUA KULIKO WENYEWE PUMBAVU
Basi sawa tufanye umeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…